Elections 2010 Tbc wameanza kutangaza matokeo

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
naangalia TBC na wameanza kutangaza matokeo wameanzia na lindi cuf wameongoza ubunge na udiwani
 
ni kweli kabisa ile ni ngome tunaitaji ngome nyingi zaidi za upinzani
 
mbona hakuna kitu??? wanaojiana na mchambuzi wa magazeti

cjui kKAMA WAKATI HUU NI WA KUOJIANA PERFORMANCE YA MAGAZETI
 
mbona hakuna kitu??? wanaojiana na mchambuzi wa magazeti

cjui kKAMA WAKATI HUU NI WA KUOJIANA PERFORMANCE YA MAGAZETI

nashiindwa kuwaelewa story kibao wametangaza machache sana yani kila dk wanasema matokeo bado mpaka dk hii cjui wapo kwenye mchakato wa kuchakachua
 
hata kwenye website ya Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) wemeweka matokeo ya ARUSHA Kiti cha urais

CCM = 15000 (20.24%)
CHADEMA = 35000 (47.23%)
CUF = 1000 (1.35%)
NCCR = 20000 (26.99%)
TLP = 3000 (4.05)
ZILIZOHARIBIKA = 100 (0.13%)

Haya matokeo hayajakaa sawa kwani namba ziko kama za kufanyia majaribio system.

Du ghafla yameyachomoa na sasa wameandika "YANAKUJA HIVI PUNDE"
 
AYAIBIKI SAFARI HII WALA UCJALI wameshikwa pabaya
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom