Recent content by Mzee23

  1. Mzee23

    ITV mnapata tuzo za super brand africa mashariki anayetoa achunguzwe

    Wanaleta ubahili wa kaskazini hadi kwenye maboresho ya super brand channel?
  2. Mzee23

    Oya naona Maulid Kitenge ameanza Kupona Akili Ona hii post

    Kanuni za uchaguzi pia zinawataka walio 'TIA NIA' ya kugombea huku ni watangazaji basi waache utangazaji kwanza ili kuleta usawa wa ushindani hivyo huenda waliowekwa pembeni vituo vya utangazaji sababu sio tu 'SHULE' hawana bali wali 'TIA NIA'
  3. Mzee23

    Shikamoo Filters..

    Kwahiyo lengo lake umle tu au mmeongea lolote kuhusu "future"?
  4. Mzee23

    Tulisema Steven Wasira amezeeka amechoka apumzike alee wajukuu,kiko wapi sasa

    Mzee mwenyewe hajui kujenga hoja ni mwendo wa majibu ya jeuri tu
  5. Mzee23

    Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

    Hakuna namna mkuu, ukiweza uhame na uchunguze unakohamia kabla
  6. Mzee23

    PreGE2025 Mchengerwa amshukia Gambo "Tuhuma zake ni za Uongo"

    Gambo si alisema gharama zilizopitishwa ni kubwa kuliko uhalisia na si kwamba pesa zilizopitishwa zimepigwa?
  7. Mzee23

    Anguko la uzalishaji wa Viwanda Marekani, Sababu na Athari zake

    Nikweli maana hata china anawakejeli wamarekani kwamba wanataka viwanda virudi Marekani lakini hawataki kufanya kazi za viwandani
  8. Mzee23

    Mtaa niliojenga watu hawataki kuvuta umeme wanaogopa kurogwa

    Ndio mkuu.. vijijini huko watu bado wana fikra za kurithi. Kuna vijiji ukijifanya unapeleka huduma flani kama kisima cha maji wanahujumu. Wameridhika walivyo. Kwingine wanaamini bado tuko mfumo wa chama kimoja tu CCM
  9. Mzee23

    Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

    Jifunzeni kutoweka ahadi kwa jambo linalofanywa na wengine.. Wewe hukuwepo kwenye maandalizi ya timu, hukutoa hata pesa ya maji, waarabu hujui wamejipangaje... wala hujui mchezo utakuwaje siku hiyo maana mpira unadunda.
  10. Mzee23

    Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

    Tafuta asali ya nyuki wadogo utumie kijiko kidogo angalau mara3 kwa siku, halafu punguza vyakula vya mafuta na wanga
  11. Mzee23

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hata Marekani haijamaliza tatizo la ajira, tutalifanyia kazi ili baada ya miaka mitano tuseme tumelipunguza

    Ukosefu wa ajira marekani ni 2.7% Nchi zetu Afrika ni zaidi ya 50% Waache porojo wajifunze chakufanya
  12. Mzee23

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Yeye anasemaje mkuu.. kwamba umsamehe mlee mimba au naye katekewa hajui chakufanya? Familia moja hatunayo tayari!
  13. Mzee23

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Ndio maana tumepoteza nafasi yetu ya kuwa nchi yenye uchumi wa kati! Fika Japani au China uone kama kuna kijana anawaza haya
  14. Mzee23

    Send off nzuri sana imefanyika ya binti anayejielewa kutoka familia inayojitambua. Hakuna kusumbua watu Michango

    Lawama utaziweza? Watanzania hata ambaye asingechangia au ambaye asingekuja hata kama ungemualika ndiye ataongoza genge la kukusema kutoalika watu wengi
Back
Top Bottom