vp nimeomba kuunganishiwa huduma ya umeme,nguzo ipo karibu lakini Sasa ni zaidi ya siku 7 sijaunganishiwa umeme Tanesco nyakato nimelipa kwa control number, mwanza. Naomba msaada au maelekezo
Umenikumbusha kisa Cha jirani yetu
Nikiwa Bado chalii mdogo Kuna mzee jirani alikuwa anafanya biashara sokoni na mke wake alikuwa mama wa nyumbani.
Siku moja mzee aliondoka nyumbani kama anaenda kufata mzigo pori yaani kabeba kabegi kadogo ka nguo, ila ndo ilikuwa moja kwa zote hakuja Tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.