Ushawahi kutunukia tunda alafu mnara usisome?

Ushawahi kutunukia tunda alafu mnara usisome?

Kabla ya mbugi tafuna pilipili manga punje kama 10 hivi utanishukuru au tafuna pande la tangawizi.
 
Hakuna ambae haijawai kumtokea,kukamia game na mwanamke akiwa mpya,

Mi ili kuepuka ilo,mwanamke akiwa mpya kuna kitu huwa natumia kutoa hofu na mashine isigome kudisa
Vipi kama mwanamke sio mpya mmeshazoeana round ya kwanza unaenda vizuri halafu kurudi round ya pili inasimama ukitaka kuweka inasinyaa ni tatizo gani
 
Vipi kama mwanamke sio mpya mmeshazoeana round ya kwanza unaenda vizuri halafu kurudi round ya pili inasimama ukitaka kuweka inasinyaa ni tatizo gani
Ambae mmezoeana sana ni ngumu,labda kama umechoka sana au ulikunywa pombe kiasi kikubwa
 
We una shida ya nguvu za kiume.

Kama unahitaji matibabu niambie nikuelekeze. Be free to talk young man.
 
Ambae mmezoeana sana ni ngumu,labda kama umechoka sana au ulikunywa pombe kiasi kikubwa
Ngumu vipi wakati mimi ndio nakueleza means ni kitu nilichokiona mara zote na sio mlevi wala hagusi pombe ila ndio yupo hivyo
 
Back
Top Bottom