Mjomba Mkude,
Wametudhalilisha sana tunaosoma elimu za juu,kama ndo hivyo mwanangu akimaliza F4 anaomba Nazi kabisa kwa GPA 3.0 ya Arts. Mnaonaje wadau!
Gari matunzo,kama unataka GARI imara kanunue Land cruiser 1hz,usahau shida. Spea za runx/Alex zinaingiliana na ist/vitz/ist/funargo tofauti ni taa,vioo,sitemirror na dashboard. Hivyo nakushauri kanunue tu.
Ilishantokeaga miaka 4 iliyopita nikiwa ndo naanza kazi. Demu angu aliaga kuwa nataka kwenda Kisoma akawa anaishi kwa dada yake,alianza kubadilika taratibu baada ya miezi 4 nikimpigia nakuta simu yake inatumika zaidi ya nusu saa na nikipiga hapokei na akitaka kupokea ananiambia nilikuwa naongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.