Nimeichukia Google

Nimeichukia Google

Habari wanajamvi! Bila shaka jumapili imekuwa njema kwa mlioenda makanisani kupeleka michango ya ujenzi na mafuta ya gari ya mchungaji, na kwa wale mliojishindia nyumbani kama mimi hamjambo?

Hivi majuzi niliamua kujitoa kwenye mitandao yote; Facebook, Twiiter, Skype n.k. lengo ikiwa niboreshe my real-life social networking skills by connecting with people wherever I am, mashallah nikaona matunda yake k.v. getting laid n.k.

Sasa leo nikasema hebu nijiGoogle nione kama bado ntakuwa mtandaoni...astaghfullulah nilishangaa vile Google imeleta majibu! ati "John Ezekiel is not on Facebook, find him on Porn sites"!!! kidogo nizimie, nikawaza huyu Google angekuwa na ofisi yake hapa Ngarenaro aki ningeenda kufanya timbwili kama lile la Wema sepetu pale Global publishers.

Anyway, ni hilo tu kwa siku ya leo.
P.S. mods kama kawaida yenu, ila angalau nimetoa ya moyoni. Imebidi nizoee nyuzi zangu kukaa kwa dakika 5. Thanks

Bila shaka una msongo wa mawazo!
 
Hujajibu thread mkuu, hebu tumia akili kujibu, na sio miguu. asante

Na wewe sio kila kitu unaropoka, fikiri kwanza!!!

Hivi kwa akili yako google inamtambua John Ezekiel mmoja tu ambaye ni wewe?

Tuanzie hapo....huenda huielewi google.
 
Mkuu usitokwe na povu.asante
 
Na wewe sio kila kitu unaropoka, fikiri kwanza!!!

Hivi kwa akili yako google inamtambua John Ezekiel mmoja tu ambaye ni wewe?

Tuanzie hapo....huenda huielewi google.

John Ezekiel wa Ngarenaro. Google inamtambua huyu tu anayevisit porn sites. Kweli ajabu Google kumchagua chali wa Ngarenaro.
 
Habari wanajamvi! Bila shaka jumapili imekuwa njema kwa mlioenda makanisani kupeleka michango ya ujenzi na mafuta ya gari ya mchungaji, na kwa wale mliojishindia nyumbani kama mimi hamjambo?

Hivi majuzi niliamua kujitoa kwenye mitandao yote; Facebook, Twiiter, Skype n.k. lengo ikiwa niboreshe my real-life social networking skills by connecting with people wherever I am, mashallah nikaona matunda yake k.v. getting laid n.k.

Sasa leo nikasema hebu nijiGoogle nione kama bado ntakuwa mtandaoni...astaghfullulah nilishangaa vile Google imeleta majibu! ati "John Ezekiel is not on Facebook, find him on Porn sites"!!! kidogo nizimie, nikawaza huyu Google angekuwa na ofisi yake hapa Ngarenaro aki ningeenda kufanya timbwili kama lile la Wema sepetu pale Global publishers.

Anyway, ni hilo tu kwa siku ya leo.
P.S. mods kama kawaida yenu, ila angalau nimetoa ya moyoni. Imebidi nizoee nyuzi zangu kukaa kwa dakika 5. Thanks

Ni ndoto za usiku tu,ukiamka sijui kama utakumbuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom