Recent content by Mzee wa Zamani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mhubiri afukuzwa akiwa anahubiri Kariakoo, kwa madai ya kuleta usumbufu kwenye biashara

    Kazi gani ya uzalishaji unayofanya wewe?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

    Kwahiyo unataka kusema kwamba kumpelekea moto mtu asiye mkeo au kupigwa miti na mtu asiye mumeo ni sawa.. isipokuwa tu mimba kusababishwa?...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaotumia ATM machine kutoa pesa bado hawajui huduma ya kugusa kadi (NFC Reader) kutoa pesa wamezoea njia ya kuchomeka kadi

    Mkuu, kuna kitu nimekinotice... bank ya NBC mara nyingi sana huwa inatema noti mpya.... sasa hii ikoje? Au ndo BoT imewapa haki miliku ya kuchapisha noti? Kama nimetembelea ATM za NBC mara 10 basi mara 8 nimetoa noti mpya... hebu naomba nipate elimu hapo.... hiyo mosi... pili kwa nini bank...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto

    Amina
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto

    Habarini wana jamvi.... natumai mpo wazima kabisa.. Kuna kipindi nilikuwa katika changamoto fulani za kimaisha (ni kawaida katika maisha kupitia milima and mabonde). Sasa, nilipambana sana kuweka mambo sawa lakaini ngoma bado ikawa ngumu.... kwakuwa nilikuwa msomaji sana wa Biblia na vitabu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Huyu leo ndo wakuyasema hayo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Phakel’umthakathi: Waafrika Kusini hatuhitaji kufanya kazi. Serikali inaweza kulipa kila mtu milioni 1 maisha yake yote

    Kweli nimeamini kuwa na akili ni zaidi ya kumiliki fedha na dhahabu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iweje Zanzibar Tarehe 1 Muharam 1448 Sikukuu Inaadhimisha Mwaka wa Kiislamu Bara ni Siku ya Kazi?

    Nchi moja Nchi moja kweli... lakini kuna baadhi ya vitu vya kimuungano na baadhi ya vitu sio vya kimuungano.... sasa hilo suala la dini sio la kimuungano ndo maana zanzibar pia wana mufti wao....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta bajaji ya 1.5m mpaka 2m isiwe trip garage

    Unautafuta ukichaa kwanguvu sana... haya bana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unatakiwa Kuelewa Au Kufahamu Kuwa Pesa Ya Halali Hapa Duniani Haipo

    Kijana umetapali nani tena? Au umefanya ufusadi katika ofisi unayofanyia kazi? "Acha kujifariji kwa mambo ya hovyo na ushetani..." Mosi: hakuna pesa chafu duniani.. pesa zote ni safi, pesa haina uwezo wa kujichafua wala kujisafisha kwasababu haina uhai.. pesa ni kitu kilichowekewa thamani tu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaondoa baadhi ya masharti makali kwa Tanzania

    Hey you, Shut up you!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

    Tabasamu lake umelionea wapi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwako wewe mwanaume

    Kwa upande wa sayansi ya technology Sina maana hiyo.. ukipata time ingia youtube sikiliza hotuba ya jack ma... utanielewa vizuri hapo
Back
Top Bottom