Recent content by Mzee wa Torano

  1. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania Yanga, GSM kuweni makini na ajira/usajili wa kocha msaidizi

    Kocha aje na benchi lake la ufundi ,siku wakifukuzwa una fukuza wote
  2. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa: Imani za kishirikina nyumbani Lupaso zilisababisha Mama, bibi na bibi yake mama kupigwa na kuteswa kwa tuhuma za kusababisha ukame

    Duh Maneno ya kilatini ,kumbe yanahusika ktk mambo haya,ndio najua sasa
  3. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanawake nao wanawatamani wenzao wenye makalio makubwa

    Uzuri wa NYUMBA choo,na Dereva wa mashua lazima akae nyuma
  4. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania UEFA champions league : Coincidence au ni kweli dunia inaendeshwa na binadamu..

    Una VPN ? Km yes download Duck Duck Go kisha zama huko,utakayo yaaona Baki nayo moyoni Mkuu kumbe na wewe unazamaga deep web?
  5. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania UEFA champions league : Coincidence au ni kweli dunia inaendeshwa na binadamu..

    Papa yupi sasa aliyestaafu au huyu wa sasa?
  6. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Tunamalizia tendo
  7. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Muda huu wa kukojoa kojo zito
  8. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania Uchumi unapaa kuliko nchi zote Afrika, Safaricom ya Kenya wana faida ya Tril 1.2; TZ jumlisha mabenki na simu hatufikii

    Sasa jiulize wasomi wetu ambao tumewapa mashirika performance yao ,Hahaha wakifanya vzr wanawapa kesi ya kuhujumu uchumi ,wakifanya vibaya kesi vile vile yaani uurugu juu ya vurugu
  9. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli:Usikubali Ushabiki wa Maria(TFF) kwa Simba, kukufanya ajabu.

    Itabidi awe nayo,mashabiki wa soka wehu
  10. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania Uchumi unapaa kuliko nchi zote Afrika, Safaricom ya Kenya wana faida ya Tril 1.2; TZ jumlisha mabenki na simu hatufikii

    Hahaha mkuu ,kwa comment ,tayari ushakubali kuwa uchumi wetu wa hovyo,km wakenya wengi wanaweza nunua gari 0 km,kuliko sisi sasa ,si ukubali tu hapa uchumi ni wa porojo?
  11. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ayakana makontena 20 yaliyokwama bandarini

    Bado tunaagiza toka mpk Leo fenicha? Si tuliambiwa zitatoka hapa hapa bongo?
  12. Mzee wa Torano

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa vema kwa Rais kuipa Simba kombe la VPL

    Asubiri matusi rasmi ya kimpira mpira na ya utani wa jadi ,muhimu asifunge MTU wala kuteka ,Hahaha
Back
Top Bottom