Congo: Gari yachomwa moto na waasi na kuuwa watu waliokuwemo, wakati huohuo askari polisi wawili waliuwawa.

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Gari ambayo ilikua inatoka kubeba mbao imeshambuliwa na vikundi vya waasi eneo la Ilingeti Kivu ya kaskazini na watu waliokuwemo kuwawa.

Na habari nyingine usiku wa kuamkia leo majambazi wamevamia ofisi moja ya kiserikali na kuwauwa askari polisi wawili.
Polisi walijarubu kujibu mapigo na kumlaza jambazi mmoja ambae anaonekana kwenye picha.View attachment 791614
IMG-20180601-WA0026.jpg
View attachment 791617
IMG-20180601-WA0019.jpg
IMG-20180601-WA0036.jpg
IMG-20180601-WA0031.jpg
IMG-20180601-WA0023.jpg
IMG-20180601-WA0024.jpg
IMG-20180601-WA0030.jpg
IMG-20180601-WA0029.jpg
 
Aisee. Haya yote ni kwasbb ya viongozi walafi. Unang'ang'ania madaraka hiyo nchi ni yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom