Recent content by Mzee wa Sumo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ashindwa kujibu madai yake ya kwenda Vita vya Kagera

    Tatizo humu wengi ni watoto wakati vita vinapiganwa mlikuwa hamjazaliwa ndio maana mnapambana na upumbavu, tengeni vyama na jeshi!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ashindwa kujibu madai yake ya kwenda Vita vya Kagera

    Makamba ndio alikuwa mwanakwaya, mhamasishaji wakati wanaume wanachapana!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    Mtu wa ajabu sana huyo, ndio maana alibondwa Tarime!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nyalandu umewakosea nini wamiliki wa gazeti Jamhuri?

    Unaweza wewe glass manga zaidi !
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndege hii ya nyalandu: kashfa nyingine mbaya

    Ndege Sio mama gari ukiendesha Collolla na Mercedes utaweza, muse wasomi kaulizieni TCAA mama mnawajua!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siri zavuja Nyalandu na urais, rais na baraza la Mawaziri, Mwigulu Mwiba

    Sio kila mtg mwandishi huyo ni taaluma,
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanawake wote mpo kama huyu?

    wANAWAKE NI WENGI WATOTO WACHACHE, MPIGE CHINI!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga afikishwa Mahakamani kwa kutomlipa mshahara PS wake na kumtaka kimapenzi

    Tuachieni Mbunge wetu, kwani anawawakilisha nyie. Segerea ni yetu!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wanaofanya Mtihani wa EDK(Elimu ya Dini ya Kiislamu) Wanafeli sana?

    watu hawasomi na kuwa serious kwenye masomo ya dini wanataka kuongeza alama, sio ukrisoto ama uislamu, kama vipi waambie Necta mtihani uwe kwa kiarabu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa sms za m-pesa kutoka kwa kapuya kwenda kwa binti

    Nimegundua Profesa juma anajua kulea jamani, pesa hii ni nzito kwa binti mdogo ni kama mashahara!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Siku Kenya na Uganda ikifukuza wahamiaji haramu, sijui Tanzania itawaweka wapi

    Kiukweli wahamiaji haramu wa kitanzania wako kwenye nchi nyingi sana na hawapati matatizo iwapo hawatajiingiza katika biashara haramu. Hata Tanzania kuna Raia wengi mno wa kigeni nadhani kuliko nchi nyingine Afrika Mashariki kinachogomba hasa kwa wanaoingia kupitia Kagera na Kigoma ni wapiganaji...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatishia kuongeza adhabu kwa Magazeti Yaliyofungiwa

    Duh! Sasa hapo tunapokwenda ni kiboko!
  13. M

    JamiiForums Tanzania ZITTO: Kufungiwa magazeti - wahafidhina sasa wanaongoza

    Duh Kikwete ana kazi kubwa sana kuongoza taifa lenye watu mbumbumbu kiwango cha Crabat! nimegundua kuna watu walienda shule kusoma na wengine kuandika tu!
  14. M

    JamiiForums Tanzania UEFA Champions League, Special Thread

    Watabiri WA tz Shao naomi wamekata tamaa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Barua: Zitto akataa posho za vikao

    Kwani posho suala la kisiasa ama utawala bora?
Back
Top Bottom