Hili jambo lipo kisiasa na hili nilimetengenezwa kisiasa ili kumuondoa simiyu maana alikuwa anatengeneza namna ya kumleta mkurugenzi Fulani agombee ubunge
Ni kukosa hoja na kudhalilisha kada za watu wangapi Leo washakudhurumu ambao siyo watumishi wa umma ambao wanatumia nguvu nyingi kukuhudumia Leo Kama ulikosana naye nenda mkafanya muafaka na siyo suala la kuja kwenye mitandao na kupisiti post za kishamba yapo mengi Kujifunza humu na si kupost...
Natafuta mfanyakazi wa stationary
Vigezo
Awe binti hajaolewa staki mwanaume
Awe mwaminifu na mchapakazi loss na wizi statain.
Awe tayari kukaa ofisin mpaka saa 3 usiku.
Awe mcha MUNGU
Mshahara wa kuanzia
80,000/=
Kama uko tayari njoo whasp 0689880309
Staki usumbufu Kama huna sifa hata usihangaike
Natafuta mfanyakaz wa stationary.
Vigezo
Awe binti Hana mme,staki wanaume wahongaji mno.
Yuko tayar kujifisha mwenye
Awe anauzoefu na hizo kazi za stationary
Awe anajua kusoma kingereza vizuri
Awe mtu mstarabu mpenda dini
Awe mchapakazi kwelikweli.
Mshahara 80,000/= per month
Nyie pigeni kalele tutakutana uzeen maisha ni nyumba.kama uko single endelea kupanga lakin Kama upo double napita miaka 3 unakuja huku unatembea labda huwe hanisi.
Nyumban ni furaha
Nyumba Ni comfortable
Nyumba Ni heshima ya ndoa
Nyumba inaokoa gharama zisizo na lazima.
Kijana wew fuata mkumbo...
Dogo usije Tena hapa jf kuomba msaada yamekuwa mengine wew komaa ka single Maza wako utakula ukimwi faster.mifano mingi imetolewa Kama mtu wa intellictual ushashika Kama kimeo.endelea kula mbonye na mzee
Kuna siku itaingia msg ya leo style yako ilikuwa hatare.hafu sijui utajiua kifupi huyo huyo den tamaa mbele piga chini mapema ukaingia naye f2 ambako utapata shida utaachiwa mtoto kweupe mpo wa2 anawaka tamaa.na wew komaa siyo kulia hao wanawake ni wazur kukiwa na hela.
Kwema wakuu.mimi Ni mjasiliamali naona Kuna fulsa ya kutoa loss report za upotevu wa Mali za watu maana naona biashara yangu ipo located na kituo Cha police nitumie njia gani aliye na ABC anipe mchongo huo.
Salama wakuu.
Naleta Uzi huu kwenu mnipe ushauri napata shida kufikiri Sana kwamba shanga zinaongeza mahaba kwa mwanamke kivipi?
Au zimewekewa ashiki kuwa mwanaume akiziona dushe linatuna na mahaba kedekede siyo mzoefu na kifupi sijawahi kula mwanamke wa shanga.
Na shinikizo linakuja kwa watu...
Draw ya makundi ya kombe la klabu bingwa barani Afrika (Caf Champions League) itafanyika Cairo Misri siku ya Ijumaa December 28 na klabu ya Simba itawakilishwa na mwenyekiti wa bodi Swed Kwabi.
-Shirikisho hilo limepanga pot 4 kila pot ina timu 4 na kila pot itatoa timu moja kwenye kundi moja...
Non sense..popote utakapoandika lazima uwe reference sasa wewe maandiko yako hayana yajitetei popote ambapo hakuna ushahidi huwezi pata uzito Nina wasiwasi na uwezo wako kufikiri mambo ya Mungu yalifunfishwa kwa mifano.reference Mkuu itakubeba na si vinginevyo.kwa hiyo tusome mawazo yako tuyakubali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.