Recent content by Mzee wa kurekebisha

  1. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana ukawa mwanaCCM na ukawa Mchamungu wa kweli?

    CCM ni freemasons
  2. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania RASMI. Kwa masikitiko makubwa nimeamua kujiondoa simba

    Niliipenda sana timu yangu hii, lakini kutokana na mambo yanayofanya na baadhi ya Viongozi nimeamua kujiondoa Simba. Ni mimi Mzee wa Kurekebisha wa hapa Jamii Forums, nawaachia timu kina MO.
  3. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Kumiliki mabilioni kazi ngumu sana, ndoto zangu zinaanza kufifia.

    Mi natamani kuwa milionea tu mdau labda hapa tupeane maujanja sasa hata nikifa watasema nimekufa nikipambana nimeshachoka kupambania mademu wakali sasa na mimi nataka noti.
  4. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Katika Mzunguko wangu kuna wanaodaiwa kuathirika(V.V.U) wanne (4)

    Wadau kwa miezi kadhaa nimekuwa katika hali ya kukosa Raha baada ya kubaini katika wanawake nilioshirikiana nao Wanne wanadaiwa kuwa waathirika. Mmoja kati yao nina uhakika wa 100% kuwa anatumia dozi maana hata mwenyewe alinithibitishia hilo baadae kabisa. Kwa miezi 6 mfululizo nimekosa hata...
  5. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Tairi used aina ya Pamoja/Yana au General tyre.

    Saizi 750 kwa 16 ikishindikana kabisa linglong.
  6. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Memba Kiboko kwa Chai tamu hapa Jf

    Ha ha ha Karibu utupatie vitafunwa.
  7. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Memba Kiboko kwa Chai tamu hapa Jf

    Miongoni mwa watu ambao wanaongoza kwa Chai hapa JF basi Mshana na Gudume ni Kiboko hebu nisaidie memba wengine wana chai safi niwatafute Kidogo maana kwangu huu ndo uwanja wa kuondoa Msongo wa mawazo. Ikiwezekana tuwekee baadhi ya Link za hizo chai.
  8. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu wanajua au kushiriki Uchawi?

    Duh, hii sijaipata mkuu.
  9. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu wanajua au kushiriki Uchawi?

    Ana kipi cha ajabu?
  10. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu wanajua au kushiriki Uchawi?

    Nimejiuliza sana hii kitu, naona kama wenzetu hawajui kabisa mambo ya Ulozi kwa sababu nayaona tu katika bara la Afrika na Asia. Wakuu naomba kufahamishwa ukweli bila kuhusisha Movie zao ambazo zimejaa uongo uongo tu.
  11. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani huwezi kulisahau katika maisha yako?

    Siku niliyofumaniwa nikanusurika kulawitiwa yaani nawaza wangefanikiwa tu Ningejiua mkuu yaani yule mwanamke alinidanganya kuwa hana mtu, halafu sikuonja hata Kidogo. Shukrani kwa yule mchungaji aliyewanasihi wasinifanyie chochote kabla ya kunisikiliza. Baada ya maelezo yangu hata wale masela...
  12. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Kilichonikuta siku ya kwanza kuingia Bar

    Ha ha ha haaa Duuuuh Mkuu sijui huwa unafikiria nini yaani jinsi nilivyokuwa nimenununa hapa huwezi amini nimejikuta nacheka tu.
  13. Mzee wa kurekebisha

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya kiakili ndiyo yanayokufanya ukanushe uwepo wa Muumba

    Dah! Umenifanya nitafakari upya, hakika hivyo vitu havipo kwa bahati mbaya.... Natangaza Rasmi kuhama kwenye kundi lile kweli kabisa ndugu yangu maana nilishaanza kupotoka hasa baada ya kuona Post za baadhi ya wachangiaji wakimtukana Mungu waziwazi na hakuna linalowakuta, basi itakuwa...
Back
Top Bottom