Matatizo ya kiakili ndiyo yanayokufanya ukanushe uwepo wa Muumba

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Siwezi Kuandika mengi hapa, ila nimekaa masaa matano najaribu kuilazimisha akili
yangu ipinge uwepo wa Muumba, akili imekataa kabisa. Haya ndiyo yaliyonifanya
nikiri kuwepo kwa MUUMBA wa kila kitu.

1. Nilianza kwa kuwatazama kuku ambao walikuwa mbele yangu. Hao wakanisafirisha
Kilomita kadhaa za fikra huku nikikusanya ndege Tofauti tofauti kichwani mwangu.
niliangalia Rangi na Tabia zao, lakini kilichonivutia zaidi ni Rani zao.
jogoo.jpg

Hivi akili yenye utambuzi, akili iliyo salama inashindwa vipi kuona maajabu yaliyopo katika
Rangi za kuku? Tunafahamu kuanzia yai linavyokuwa mpaka kifaranga ambacho huzaliwa
Bila nakshi zozote? Ni upungufu tu wa akili ndio unaotufanya tusione kama huyo Kuku
na ndege wengine nitakaowaweka Hapa Rangi zao hazijaja kwa bahati, Ni wazi kuwa
hata hizo Rangi zimewekwa kwa Mpangilio, Ewe mpingaji wa Muumba huoni?
Ndege7.jpg

Upofu gani umekupata hata usione umaridadi, utaalamu tena wa kiwango cha juu
ambao umetumika kumpamba na Kumnakshi Ndege huyu? ni Upumbavu kusema
Huyu ndege amatokana na Bigbang sijui kitu gani... huko.

2. Wanyama, nilitafakari maumbile na Rangi za wanyama niagundua wazi kuwa
kukataa uwepo wa muumbaji ni dalili Kubwa ya Ukosefu wa akili.
3214061.large.jpg

3.Wadudu
insect.jpg

Hata wadudu wameshindwa kuifanya akili yako itambue Uwepo wa Muumba?

4.MIMEA
flower.jpg

SHAABAAAAASH! AMETAKASIKA MOLA WANGU MBORA WA UUMBAJI
Kama unashindwa kuona maajabu ya mpangilio wa Rangi katika hili ua na
akili yako ikatambua kuwa Kuna MUUMBA Jihesabu wewe ni mwendawazimu.

AKILI SALAMA NI ILE INAYOTAFAKARI MAMBO, Usije kuwa na videgree vyako viwili mpaka
Vinne ukashindwa kutafakari mambo mepesi kama haya ukajiona mjanja, utakuwa ni mpumbavu tu ambaye umekariri mambo ambayo wametafakari wenzio.
 
Dah! Umenifanya nitafakari upya, hakika hivyo vitu havipo kwa bahati mbaya.... Natangaza Rasmi kuhama kwenye kundi lile kweli kabisa ndugu yangu maana nilishaanza kupotoka hasa baada ya kuona Post za baadhi ya wachangiaji wakimtukana Mungu waziwazi na hakuna linalowakuta, basi itakuwa anawasubiri tu.
 
Siwezi Kuandika mengi hapa, ila nimekaa masaa matano najaribu kuilazimisha akili
yangu ipinge uwepo wa Muumba, akili imekataa kabisa. Haya ndiyo yaliyonifanya
nikiri kuwepo kwa MUUMBA wa kila kitu.

1. Nilianza kwa kuwatazama kuku ambao walikuwa mbele yangu. Hao wakanisafirisha
Kilomita kadhaa za fikra huku nikikusanya ndege Tofauti tofauti kichwani mwangu.
niliangalia Rangi na Tabia zao, lakini kilichonivutia zaidi ni Rani zao.
View attachment 798044
Hivi akili yenye utambuzi, akili iliyo salama inashindwa vipi kuona maajabu yaliyopo katika
Rangi za kuku? Tunafahamu kuanzia yai linavyokuwa mpaka kifaranga ambacho huzaliwa
Bila nakshi zozote? Ni upungufu tu wa akili ndio unaotufanya tusione kama huyo Kuku
na ndege wengine nitakaowaweka Hapa Rangi zao hazijaja kwa bahati, Ni wazi kuwa
hata hizo Rangi zimewekwa kwa Mpangilio, Ewe mpingaji wa Muumba huoni?
View attachment 798064
Upofu gani umekupata hata usione umaridadi, utaalamu tena wa kiwango cha juu
ambao umetumika kumpamba na Kumnakshi Ndege huyu? ni Upumbavu kusema
Huyu ndege amatokana na Bigbang sijui kitu gani... huko.

2. Wanyama, nilitafakari maumbile na Rangi za wanyama niagundua wazi kuwa
kukataa uwepo wa muumbaji ni dalili Kubwa ya Ukosefu wa akili.View attachment 798066

3.Wadudu
View attachment 798067
Hata wadudu wameshindwa kuifanya akili yako itambue Uwepo wa Muumba?

4.MIMEA
View attachment 798068
SHAABAAAAASH! AMETAKASIKA MOLA WANGU MBORA WA UUMBAJI
Kama unashindwa kuona maajabu ya mpangilio wa Rangi katika hili ua na
akili yako ikatambua kuwa Kuna MUUMBA Jihesabu wewe ni mwendawazimu.

AKILI SALAMA NI ILE INAYOTAFAKARI MAMBO, Usije kuwa na videgree vyako viwili mpaka
Vinne ukashindwa kutafakari mambo mepesi kama haya ukajiona mjanja, utakuwa ni mpumbavu tu ambaye umekariri mambo ambayo wametafakari wenzio.
Ajabu ni pale MTU anakanusha uwepo wa Mungu Ila anakubali ana ubongo ilhali hajawahi ona ubongo wake wala kugusa anategemea ushahidi wa wengine
 
Nionavyo hilo la kutoona ubongo wake si kigezo sana kwa sababu inaeleweka kwamba kila binadamu ana ubongo na pengine yeye mwenyewe atakuwa amewahi kuona ubongo wa binadamu wengine waliopata ajali barabarani au mahali popote pale au katika mazingira mengine tofauti na hayo ya ajali.

Kusema hivyo haimaanishi kuwa mimi ni mmoja wa hao wanaopinga uwepo wa Mungu japo kuna maswali kadhaa ambayo uwa ninajiuliza ambayo kimsingi yanahusiana na baadhi ya maandiko katika vitabu vitakatifu.
 
ukiona unaandika uwepo wa mungu jua wewe pia unamashaka na uwepo wake mkuu
 
Hizi imani na misimamo yetu tuliyonayo ni zaidi ya sababu tulizonazo,ukiona mtu anasema hakuna Mungu usifikiri hizo sababu anazokupuka ndiyo hasa zimemfanya aseme hakuna Mungu.

Hoja zinazotolewa humu ni kujaribu kutetea misimamo yao tu,we jipe kwanza huo msimamo wa kuwa hakuna Mungu baada ya hapo ndipo akili itaweza kukubali.
 
Back
Top Bottom