Recent content by mzee wa chobingo

  1. M

    Kama unahisi una mapungufu ya nguvu za kiume oa bikra

    Kwaio mwanaume unamuona binti na ukamtongoza lengo lako kubwa ni kumridhisha?
  2. M

    Tundu Lissu: Watoto wangu ni raia wa Marekani kwa kuzaliwa kwao

    Acha kuleta mifano ya kitoto. Nani anamwambia achague na kwa lengo lipi
  3. M

    Hivi mwanaume akimpenda mwanamke anaweza kubadili dhehebu

    Kwanini mwanume uwe na imani ya mke wako, umeoa au umeolewa. Mwanaume wa hivyo anakua hana vigezo vya mwanamke anyetaka awe mama wa watoto wake
  4. M

    Hivi mwanaume akimpenda mwanamke anaweza kubadili dhehebu

    Ukiwa kijana wa kiume kazi yako kubwa ni kuendeleza ukoo wa kwenu, zaa una unavyoweza ili ukoo usije ukafutika. Sasa ikitokea mwanaume unafuata matakwa ya mwanamke ili umuoe utawezaje kuendeleza ukoo
  5. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu sam mirror 1 unaongeja placement za taasisi gan
  6. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndio hao, naona mkeka wa leo Duwasa wamo
  7. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wanangu wa ega, duwasa na wcf naona bado hatujafikiwa🙏
  8. M

    Nimetengeneza shule ya kwanza ya kidigitali ambayo wanafunzi watasoma na kufanya mitihani wakiwa nyumbani

    Inachukua siku ngapi kuanza kupata access ya kusoma bada ya kufanikiwa kujisajili
  9. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    namaanisha programming language kiongozi, maana kwenye written kulikua na php,python,java na c++
  10. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    prac ya technician au programmer?
  11. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari wakuu, kwa ambaye ashawai kufanya practical za utumishi kwenye kada ya ICT, je hua wana limit language au mtu anaweza tumia language moja kujibia maswali yote?
  12. M

    Cracking utumishi written interview: Maalum Kwa Kada za ICT

    nami naongezea apa wakuu kwa aliyewahi kufanya prac, hua unachagua language unayotaka au kuna limittaion?
  13. M

    Cracking utumishi written interview: Maalum Kwa Kada za ICT

    vipi mkuu, ushawai kufanya prac za utumishi
Back
Top Bottom