Recent content by mzee wa chabo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zahanati feki

    Unajua ni Kwa nn ilifungiwa?Kwa nn inafanya kazi kimyakimya?huoni Kuwa inahatarisha Maisha ya watu?wewe ni kisebengo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zahanati feki

    Iko maeneo ya magole kitunda kama unaelekea mwanagati kutoka Kwa MPEMBA au kama unatoka mwanagati ukishavuka mto mzinga baada ya kijimlima upande wa kushoto,ilishawahi fungiwa na taasisi husika Ila Sasa inafanya kazi kimyakimya,haina bango Wala alama yyt kuashiria uwepo wake,wahusika wanaijua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    ni pm nitakupa maujanja
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why TPDF should be prepared to replace KDF in Juba

    Endelea na dharau zako kwa Tpdf,mbona msomali anawatia jambajamba nyie Kdf?mkawaulize M23 ndo wanaijua Tpdf,pamoja na usaidizi toka Rwanda walisambaratishwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

    Jf imevamiwa na panya road.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanifokea sana

    Naww malizia hasira zako kwa beki3,ashakutengenezea mazingira.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Walokole wengi nuksi sana

    Nina mama yang mdogo ni mlokole enzi ya utoto (16yrs) niliwahi kumkuta kwenye mabanda ya uwani yupo na lijamaa linamgegeda,akaniwahi kunishtaki kwa mjomba kuwa nilikuwa namchungulia chooni aisee nilikula bakora za maana lakini sikusema ukweli kama nilimkuta anagegedwa Ili kumlindia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Walokole wengi nuksi sana

    Kama washafika mbinguni wanafanya nn duniani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiendelea kuongea namna hii atafanikiwa sana

    Mitaa gani ambayo watu wanamsifia?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Raid magufuri asema yeye alizuia zoezi la uhakiki miezi hii miezi mingine yajui Nani kaongeza

    Sina hakika kama mwananchi wameandika ovyo kama ulivyoandika.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mh Rais kasimama masaa mawili kuongea na wahariri wa vyombo vya habari sio kitu cha mchezo

    Mtoa mada anaonekana ni mgonjwa,anashangaa kusimama muda huo,watu tunasimama masaa sita ijekuwa hayo mawili tu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Cheni aeleza sababu za kutojihusisha tena na filamu nchini

    Wao ndo walikuwa wanatuimbia tutaisoma namba,mbona wanaisoma wao tena? Teh teh teh
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya kupaa samaki

    Samahani mkuu umekosea.ulitaka kuandika bei tshs1500/=.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mke anashindana kila kitu na mimi!

    Madebe na mwenzie
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Acha hiyo!aliyedondoka pale jangwani miaka ile alikuwa lowassa?
Back
Top Bottom