Zahanati feki

mzee wa chabo

Member
Oct 24, 2016
64
64
Iko maeneo ya magole kitunda kama unaelekea mwanagati kutoka Kwa MPEMBA au kama unatoka mwanagati ukishavuka mto mzinga baada ya kijimlima upande wa kushoto,ilishawahi fungiwa na taasisi husika Ila Sasa inafanya kazi kimyakimya,haina bango Wala alama yyt kuashiria uwepo wake,wahusika wanaijua Kwa sbb walishaifungia,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom