Recent content by MZEE WA ALIZETI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu: Watu kutekwa na kuuawa ni kawaida, haina haja ya kulipeleka Bungeni

    Taasisi nyingi za Ulaya na Amerika, ikiwa ni pamoja na UN, makao makuu ya kanda za ofisi zao ziko Nairobi au Addis Ababa. Na sio huku kwetu. Wanaevaluate na kuona huko ni salama zaidi kuliko huku. We Mbunge unatuvunga eti usalama wetu ni wa hali ya juu. Hata sisi hizo nchi tumeishi, asitufanye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Blog,Web au App.. Kipi zaidi?

    Kuna kitu kinaitwa E- Newsletter. Huwa natamani nitengeneze na kuifanyia biashara katoka matangazo. Je mnatengeneza? Nayo inafaa kibiashara??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ugomvi wa chini chini India dhidi ya Tanzania?

    Kwanza maajenti wakubwa wa makampuni ya India yanayonunua haya mazao ni hawa wafanyabiashara wetu hapa Bongo kama kina Manji, Mo and the likes. Kitendo cha kuwa destabilize wao, kunawafanya kutopromiti effectively hayo mazao India kwa wateja wao. Kumbuka Marketing in the competitive world is a...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Motor Vehicle Licence janga kwa wananchi wa kawaida

    Watu wengine bhana!! Kodi zimeondolewa wanalalamika. Maono madogo sana kama mkia wa samaki. Je mafuta yakishuka bei???
  5. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu, nipo Dodoma na nijumuishe nami pia. Naitamanigi sana hii business ila sijui inafanyikaje. Count me in please.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ijue Botswana japo kidogo tu

    Waliwakopi Wasukuma!!??? Walikutana wapi????
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kenyan most intelligent an eloquent man Prof. Lumumba praised Magufuli wetu!

    Kwangu Rais anayetanguliza wazawa, ni bora sana. Sio yule wa kila kitu wahindi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity

    JOB OPPORTUNITY Tanzania Sunflower Processors Association- An apex body of all Tanzania Regional Sunflower Oil Processors Associations, is looking for the Chief Executive Officer who will be mandated to manage and supervise day to day activities of the Association, which currently covers 23...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity

    Tanzania Sunflower Processors Association (TASUPA)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity

    JOB OPPORTUNITY Tanzania Sunflower Processors Association- An apex body of all Tanzania Regional Sunflower Oil Processors Associations, is looking for the Chief Executive Officer who will be mandated to manage and supervise day to day activities of the Association, which currently covers 23...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Asili ya nchi ya Afrika ya Kusini

    Duh!!!! Dizonga!!!! Hilo ni jina wabongo wa Sauzi wanapenda kuiita ile nchi. Mie nimeishi huko kwa muda mrefu na nimeoa huko, japo kwa sasa ninaishi bongo na huyo waifu na watoto niko nao hapa Bongo. Nakubaliana na wewe majina yapo, ila hawakubaliani nayo kwa sababu ya nani anayatoa. Wazulu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Kawafuta kazi au bado? Niko njiani mbali na mawasiliano.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Umuntungumuntungabantu.

    Ni kikhosa na ina maana mtu ni mtu kwa sababu ya watu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa zabibu Dodoma hawana soko

    Mie nimefungua kiwanda cha flavored soft drinks a.k.a juice hapa Miyuji Dodoma. Nafikiria pia kuanzisha uzalishaji wa juice ya zabibu kwa kutumia hayo matunda. Inanihitaji hela kidogo kuwekeza mitambo zaidi. Ila sijui hao wakulima wanalima aina gani ya zabibu na zinapatikana vipi. Inasikitisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma, Jamhuri Stadium: Uzinduzi wa 'Tanzania naiaminia'

    Ewaaaaaaa!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom