Sijui kwa nini sasa waliiweka ile kozi kwenye system kama walijua hawataajiri watu wa PGDE ,kweli ni mavi kabisa hawa tamisemi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana connection zilikua nyingi kila staff ana majina mfukoni hadi Ilibidi takukuru waingilie kati, nchi ngumu sana hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajira za tamisemi za kishenzi sana ,bora kwenda kulima tu na si kutegemea hizi ajira , wamejazwa watu wa diploma na certificate
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaaam kwenu wadau
Kama mada inavyojieleza
Uko na mke mmefunga ndoa na mna watoto
Kutokana na sababu za kikazi ,inafikia hatua mnaishia mikoa tofauti, mke mkoa Z mume mkoa B. Mke yuko na watoto na mume Yeye anaishi mwenyewe. Siku za nyuma mawasiliano yanakua mazuri ,ila baada ya miaka kupita...
I can believe dat,manake nimeshangaa sana Mara ya kwanza kwenda kwa jamaa nimemkuta na mke wake Fulani alinikarimu vizuri sana tena sana halafu mwanamke ni mzuri mno na msomi sana na ana kazi yake, ila nimetembelea tena daa kituko,nisiongee mengi sana
Mkuu mi kuomba omba siwezi nikiona sehemu haieleweki huwa nakaa kimya then naaga naenda sehemu napata ninachohitaji nikimaliza napanda gari narudi kwangu
Salaam wananzengo,
Jana nilisafiri kwenda kumtembelea rafiki fangu Fulani huko wilayani.
Jamaa kaja stand kanipokea, tumekwenda kwao, ile nafika nakutana na mama mtoto wake, daaah! Jinsi alivyonikaribisha tu, nikajua hapa kuna tatizo na jinsi jamaa yangu alivyo nikashangaa kwa nini azalishe...
Daaaah wanawake wengine bhana
Mwanzoni mwa mwezi huu nikiwa safarini mkoa flani nikakutana na binti kwenye gari tukakaa siti moja
Ghafla tukazoeana sana hadi ikafikia hatua tukalala wote kule mwisho wa safari manake tulifika usiku sana
Usiku tukagegedana,asubuhi tukatawanyika
Mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.