Recent content by mzee mbaya

 1. mzee mbaya

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  achana nao hao labda hawadindishi au mashoga
 2. mzee mbaya

  Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

  iko kawaida tu mkuu ila sijakaa nayo sana niliweka sokoni nimerudi kwenye runx
 3. mzee mbaya

  umemtambua nani katika picha

  Hashim Rungwe Spunda.
 4. mzee mbaya

  Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

  King of everything by wiz khalifa
 5. mzee mbaya

  Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

  [emoji3][emoji3][emoji3] kwenye mbio hapo mie ni muoga mzee nadhani nikitembea sana 120. Thanx kwa experience yako mzee. Pia mie siichukui kwa ajili ya safari ndefu ni mizunguko yangu tu na kwenda job basi hizo safari itokee mara moja moja tu
 6. mzee mbaya

  Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

  Kabisa kwenye heshima ndicho kilichonivutia pia
 7. mzee mbaya

  Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

  Ngoja nijilipue mkuu japo ndo itakua gari yangu ya kwanza ila nimefanya research na nimejiridhisha nimetoa uoga, maana nilikua na chaguo la Mark x kabla
 8. mzee mbaya

  Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

  Baada ya kupitia mijadala mingi kuhusiana na huu mkoko nimeamua kwa dhati kabisa kujitosa kuuagiza used kutoka japan huenda muda mwingine uoga wetu tu unatufanya kushindwa kuwa na vitu vizuri.
 9. mzee mbaya

  Anatafuta kazi ya duka

  Picha yake tumthaminishe kama anafaa Sent using Jamii Forums mobile app
 10. mzee mbaya

  Kutofoutiana kwa bei ya CIF, TRA wanaifuata ipi wakati wa malipo?

  Mkuu nina m 13 kibindoni naweza kumiliki crown athlete cc 2500 toka japan Sent using Jamii Forums mobile app
 11. mzee mbaya

  Kwa anayefahamu viwanja vizuri vya sharehe Kigamboni Dar-es-salaam vyenye malaya wakutosha

  Kuna sehemu za beach na maeneo mengine ya kawaida sijui wewe unapendelea yepi mkuu ila kwa starehe kigamboni bado kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
 12. mzee mbaya

  Ma Producer hawa wamepotelea wapi..?

  Una utani mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
 13. mzee mbaya

  Trafiki wamburuza dereva wa lori mlangoni kwenye harrier Morogoro

  Tii sheria bila shuruti Sent using Jamii Forums mobile app
 14. mzee mbaya

  Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

  Advance wazee wa tungi na kumoker kila mtu alitufahamu aisee Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom