Recent content by Mzee Kabwanga

  1. M

    CHADEMA yaja na mbinu mpya

    Hongera kwa kutoa elimu ya uraia siyo kitoa kitu cha kumsaidia mtu kwa muda badala kusaidia jamii kuondokana na umasikini uliotanda hasa vijijini.
  2. M

    CHADEMA HEDARU yang'ara MNO !

    Hongera kwa kuona mabadiliko lakini ifikapo kwenye mtu akipatiwa tshirt na kanga na kilo ya sukari amebadilika . Inatakiwa elimu ya uraia.
  3. M

    Job Ndugai live Star TV Jumapili

    Nakumbaliana na Komeo kuwa hakualikwa Mnyika nitakuwa na mashaka na star tv maana niliona jumatatu Mnyika akimwomba mtangazaji kuwa itatokea Ndugai kualikwa na yeye alikwe na mtangaza yule alikubali kwahiyo tunasubi.
  4. M

    JICHO PEVU: Tathimini na uchambuzi wa matokeo ya uchaguzi wa udiwani wa kata 22, 16 Juni 2013.

    Tathimini iliyofanywa na Mohamed Mtoi inaonyesha ukweli wa ccm ilivyoporomoka ingawa watapinga lakini huo ndiyo uhalisia wenyewe na hadaa na nguvu nyingi iliyotumika naipongeza Chadema . Na hata Arusha kwa mbinu zinazofanyika hata siku moja ccm wasitegemee kushinda labda nguvu na hadaa zitumike...
  5. M

    KIJANA GODSON MBAGA Ameendelea kukonga nyoyo za wananchi wa jimbo la same

    Hongera kwa kutoa elimu ya uraia vijijini vya same.
  6. M

    Lissu atia fora bungeni

    Watu aina ya lisu hawatakiwa na maccm unatakiwa usikosoe ukubaliane nae. Nchi hii inakiwa elimu kubwa ya uraia.
  7. M

    Katiba inasemaje kuhusu asiye mbunge kupeleka hoja binafsi bungeni?

    An elect atuambie ni ibara ipi ktk katiba inaruhusu mtu binafsi kupeleka hoja yake bungeni?
  8. M

    Katiba inasemaje kuhusu asiye mbunge kupeleka hoja binafsi bungeni?

    Hoja yeyote huwasilishwa bungeni na serikali au mbunge hakuna mtu mwingine anaruhusiwa kuwasilisha .Hoja yako mpe mbunge wako .
  9. M

    polisi waliouwawa karagwe hawakuwa kikazi!!-Dc karagwe

    Maelezo yako ndiyo utaratibu lazima uwe na movement order. Maelezo ya RPC na SENSE ni upotoswaji mkubwa.
  10. M

    Kuchana Bendera ya CHADEMA kwamuweka matatani Diwani wa CCM

    Diwani mbumbu asiyefahamu mipaka ya uwakilishi wa wananchi waliomchagua bado anajiona ni shabiki wa chama chake . Wape wengi bado ktk nchi yetu inatakiwa elimu zaidi ya uraia.
  11. M

    Mkurugenzi jiji la Mbeya bw. Iddi na madiwan vyama mchanganyiko

    Mkurugenzi huyo ni mtu imara sana ktk kusimamia masuala ya fedha maamuzi mbalimbali yaliyoamuliwa yanayohitaji utekelezaji masuala ya nidhamu kazini .Nimfahamu akiwa same baada ya kuondoka same leo ukifika ofisi za halimashauri hiyo hakuna nidhamu tena.Tungekuwa na wakurugenzi wengi kama huyo...
  12. M

    Haki ya abiria inakuwa wapi hapa kisheria?

    Askari ikuwa wajibu wake awaeleze kwanini anawachelewesha na hiyo ndiyo inayotakiwa kujenga mahusiano mazuri na jamii. Askari anayeongea kwa kificho na kondakita ni wale watafuta rushwa .ambao wanachafua hazi ya jeshi la polisi.
  13. M

    Nauliza: Kamati za ulinzi na usalama wajume wake kina nani? Wamo pia wapinzani?

    Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ni mkuu wa mkoa au wilaya na wajumbe wake ni viongozi wa majeshi yetu walitajwa ktk katiba ya nchi . Hawa wakuu wa mikoa na wilaya ndiyo wakilishi wa Raisi. Ktk kamati hakuna uwakilishi wa upinzani. Muundo wa kamati hizi una mapungufu mengi sana ya kisheria...
  14. M

    Tanzaniteone waibiwa madini ya mabilioni ya fedha

    Kwa vikwazo ktk eneo la hifanya ya madini hayo hakuna wizi uliofanyika isipokuwa kuna udanganyifu kukwepa kulipa kodi na kulipwa insurance. Polisi wawe makini na ungalifu ktk upelelezi wao .
  15. M

    Tanzaniteone waibiwa madini ya mabilioni ya fedha

    Hakuna wizi unaweza kutokea hapo kwa ulinzi uliopo wenye vikwazo vingi . Isipokuwa kuna udanganyifu unataka kufanyika kukwepa kodi na masuala kulipwa insurance na mengineyo.Polisi wafanye uchunguzi wa kina watagundua.
Back
Top Bottom