Kama ni watanzania wameiba basi nawapongeza sana, kwakuwa sijaona nchi ikifaidika zaidi ya wageni na vibaraka wachache, naomba mungu wasikamatwe, ili nao waonje kile mungu alichotujalia.
Watanzania watakuwa wamefaidi utamu wa rasilimali zao, wakimaliza hapo waende Geita na nyamongo wakafaidi matunda yao pia, Mungu ibariki Tanzania