Dada yangu una Stress nini?Naona kama uliandika comment ukiwa bado una hasira hivi sijui Mumeo kakufanya nini tena?Ungelala kwanza akili itulie!
Elimu yako ya colonial education was too theoretical au hukwenda kabisa shule sababu ya kuogopa wazungu
Dada yangu una Stress nini?Naona kama uliandika comment ukiwa bado una hasira hivi sijui Mumeo kakufanya nini tena?Ungelala kwanza akili itulie!
umenikumbusha kuna siku walikutana kwenye kipima joto ITV alibanwa ikafika sehemu akawa ni zamu yake ya kuongea aliomba arukwe kwanza,na yule mzee nasako alivyo balaa alimuambia ni zamu yako ongea! Ndugai alitia huruma kweli
tumsikilize tu, naamini atafanya kituko studio! The guy is insane
Elimu yako ya colonial education was too theoretical au hukwenda kabisa shule sababu ya kuogopa wazungu
Uliamka na hangover nini bibie?Kapate supu ya utumbo wa kuku kwanza akili ikae sawa.Naona unajaza mashudu tu humu!!!??
ndugai ni mwamba kudadadadadadadaddadadadadaaaaaadekiiiiiiiiiiiiiiiiii
Huyu ni yule Wema Sepetu Nini?jama kama kuna mtu amefanikiwa kumuelewa huyu wema,atueleweshe na sisi,mana naona anatimua vumbi tu
Kwangu mimi siwezi kumsukiliza kwani ana hasira ya kijnga,hawezi kujenga hoja na hana busara!
Wana Jf kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku jana, mtangazaji wa star tv alisema Jumapili tarehe 15.09.2013 kwenye kipindi cha tuongee asubuhi watakuwa na naibu spika Job Ndugai.
Hakusema majina yawashiriki wengine watakaokuwepo kwenye kipindi hicho, walahakusema mada itakayozungumziwa.
Nina hakika suala la mswada wa sheria ambao ulileta sintofahamu bungeni hataweza kuuepuka kuuzungumzia.
Nimeona niwape taarifa hii maana kuna wakati wa kupiga simu na kuuliza maswali.
Nawashukuru sana.