Itapendeza sana maana Kupata vyeti vya kuzaliwa hasa mikoani mara nyingi ni changamoto kubwa sana, hasa Mkoa wa Kilimanjaro, inachukuwa mpaka miezi 6 na zaidi, sasa watu hawajui hapo ni mazingira gani yanatengenezwa hapo.
Hakuna mtu ambaye ni msafi wote wachafu. Ni vile hawajakamatwa kwenye uchafu wao.nawashangaa wanaombeza lowassa kila mtu anaaiba jamani fungueni mimacho yenu. Tunamtaka kongozi ambaye tunaamini atapiga kazi
Hiyo ilikuwa bei ya promo bado ngojeni itafika Laki moja. Chezea watz ww. Continental wanasema hakuna monthly fees lakini SASA wana waambia wateja wao wakajiandikishe iliwapate kadi sasa kinachofuata hapo ni nini . Hata digitek ni wasanii tu hawana lolote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.