South Africa - No Visa required for TANZANIANS for 90 days travel

Jalem

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
217
71
Angalia link hapo chini

Department of Home AffairsHii ni nafasi nyingine pevu ya kibiashara kwa wale wanaofanya au wanapenda kufanya business.

Ikiwa useful,tafadhali bonyeza kitufe cha thanks.

Mkubwa hapa nikuwa VISA utalipia airport siyo kwamba hatulipishani, inamaanisha huna haja kuomba ubalozini kwao, utapata airport.
Lakini kuna nchi kama Ghana na nchi zote za EA wanaingia bila kulipa ndiyo kusema NO VISA, nasema haya kwani mimi pia ninatumika kuwasaidia wageni wanaotaka kuja TZ khy R.S.A. Bado wanalipa kukwepa folleni airport lkn wanapata VISA ON ARRIVAL at the airport,
Samhani nimezungumza yt, sababu nilitaka kujua kama hatulipishani ndiyo ningekubali kuwa No Visa.
Kila la heri.
 
Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
10,148
16,560

Mkuu Jalem unakosea, ni kwamba unapokwenda bondeni hulipi chochote, wala huhitaji au kupewa visa airport bondeni. NI kama kwenda Kenya, au Uganda. Wewe chukua passport yako na uende bondeni hakuna sharti lolote. Ukifika bondeni unagongewa tu muhuli wa entry bila malipo, ili ukae maximum 90 days. Ila angalia kwamba ukizidisha kukaa zaidi ya siku 90 utalipishwa fine ya Rand 3000, sawa na karibu Tshs 540,000. Na pia unaruhusiwa kuongeza miezi miwili ya hizo siku 90, ila utalipa fee ya Rand kama 750, sawa na Tshs 135,000. Na pia uwe makini kupewa siku 90, maana hizo siku 90 sio lazima upewe zote - maximum 90 days maana yake unaweza kupewa hata wiki mbili tu! Ni muhimu kuangalia umegongewa siku ngapi ili usije ukatozwa fine.

Mpango huu si mpya, umeanza toka mwaka juzi kama sikosei.

Tatizo ni kwamba Tanzania pia inatakiwa kuondoa visa kwa upande wa Wa-South wanaokuja bongo, kitu kinachoitwa reciprocal arrangement. Tanzania imegoma kufanya hivyo. Kwa hiyo hadi sasa Wa-South wanatakiwa kuwa na visa kuja kwetu, na wanalipia dola 50 kama sikosei, wakati sie tunapoenda kwao tunapeta tu. Hatari ni kwamba Wa-South wanaweza kuondoa mpango wa Wa-bongo kwenda bondeni bila visa wakati wowote, kama Tanzania haitawaondolea visa watu wao kuja kwetu. Labda tuwapigie magoti kwamba tunaomba mchango wao wa visa ili kuendesha ofisi yetu ya ubalozi pale Pretoria la sivyo tutaifunga kwa kukosa hela!
 
Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,815
1,030

Shukrani kwa maelezo mazuri.
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,946
6,381
Wauza unga ma punda wao wanaweza kusabisha terms and conditions zibadilike.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

6 Reactions
Reply
Top Bottom