Recent content by mzalendob

  1. M

    IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tunamtakia kila heri na tunamwomba asiwe na msimamo mkali.
  2. M

    TANZIA TLS wamlilia Wakili Ojare

    Apumzike kwa amani wakili.
  3. M

    TAIFA LEO KENYA: Magufuli Bado Mteja

    'Mteja wa nambari uliopiga hapatikani'. Safaricom yao hiyo kwa maana mtumiaji hapatikani.
  4. M

    Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

    Sio wote wanaopata corona wanavuta. Asilimia kubwa wanapona.
  5. M

    Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

    Wapo pia watalii wengi raia wa Italia wanaokwenda Zanzibar na Italia saa hizi ndio ya pili baada ya China kwa maambukizi. Intelligence hapa ifanye kazi ya ziada.
  6. M

    Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika

    Hawa wanaofanya promotion kwa kutumia maneno ya huyu mzee wamsaidie. Angekuwa na uwezo ingefaa asajili na kupata rights za huo usemi.
  7. M

    Serikali idhibiti uoneshaji wa video kwenye mabus ya abiria

    Wakati mwingine hizi picha zinakera. Sema tu wanaotoka vijijini kwenye basi ndo wanapata fursa ya kuona screen na utawajua tu pale wanapoongea na konda, "tunaomba utuwekee kideo". Ikiwekwa ya mzee Majuto vibogoyo utawagundua.
  8. M

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Busara na intelligence zaidi zitumike kukabiliana na hawa watu.
  9. M

    Gado unamtafuta nini Rais wetu kipenzi?

    Huyu jamaa ana kipaji kweli. Yani dereva hafuati sheria kavunja hadi kibao 50 km na kuwafuata watu nje ya barabara.
  10. M

    Kura: Je, ungependelea kanisa la ufufuo na uzima lifutiwe usajili?

    Hapana. Bila hili kanisa tusingejua mambo ya kolomije na bashite. Movie nyingi za bongo zinabore lakini sasa tumepata mbadala.
  11. M

    Gwajima chukua jimbo la misungwi 2020

    Kasema ubunge ni demotion
  12. M

    Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    Pole Davie. Onyesha vyeti yaishe.
  13. M

    Askofu Ruaichi: Waumini Waombeeni Viongozi Watambue Kuna Njaa

    Sasa hawa viongozi wa kanisa wanaanza kuwa Prophetic. Mfalme akiwa uchi mwambieni ukweli.
Back
Top Bottom