Kitaa maarufu kama Bashishy Bby..Dah![emoji23]. Mi naomba nijue kale katoto kenye bunduk pale juu ni nani? Hakaogopi? Acha sanaa izungumze, pale midomo ilipofungwa.
Dah![emoji23]. Mi naomba nijue kale katoto kenye bunduk pale juu ni nani? Hakaogopi? Acha sanaa izungumze, pale midomo ilipofungwa.
Ka-Bashite hako! Noma sana!!Dah!. Mi naomba nijue kale katoto kenye bunduk pale juu ni nani? Hakaogopi?![]()
Labda wewe uliyetumia muda wako kwenda kumtafuta na kumleta hapa ndiyo ulijibu hilo swali, iweje unatuuliza sisi tena?
Cartoonists huwa wana akili sana.Opposition kakanyagwa lakini anaelekea kufufuka, press huenda akanywea forever! GODO ana akili sana, tungelimrejesha na kumpa walau umakamu wa nne wa rais!