Gwajima chukua jimbo la misungwi 2020

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Ili kuleta heshima jimbo la misungwi inabidi lichukuliwe na Gwajima akiwa ndani ya gwanda la khaki hapo ndipo ndoto za za bashite zitakuwa zimeyeyuka maana anampango wa kugombea ubunge 2020. Wakati wa kampeni na kwenda kusalimia Gwajima atakwenda kwa chopa Wakati Bashite atakwenda kwa range rover
 
Vita ya wasukuma haiwezi kuingia jijini, ishindwe kabisa, waipeleke huko huko misungwi, wanajuana wenyewe hawa! Good luck and have a wonderful Saturday!
 
Ili kuleta heshima jimbo la misungwi inabidi lichukuliwe na Gwajima akiwa ndani ya gwanda la khaki hapo ndipo ndoto za za bashite zitakuwa zimeyeyuka maana anampango wa kugombea ubunge 2020. Wakati wa kampeni na kwenda kusalimia Gwajima atakwenda kwa chopa Wakati Bashite atakwenda kwa range rover
Gwajima Ana wafuasi dunia nzima na ana makanisa ndani na nje ya nchi...ameshasema hapa hakuna kazi ya level yake hata Rais
 
Ili kuleta heshima jimbo la misungwi inabidi lichukuliwe na Gwajima akiwa ndani ya gwanda la khaki hapo ndipo ndoto za za bashite zitakuwa zimeyeyuka maana anampango wa kugombea ubunge 2020. Wakati wa kampeni na kwenda kusalimia Gwajima atakwenda kwa chopa Wakati Bashite atakwenda kwa range rover
Acha ujinga wewe,

Alishakwambia hajawahi kuota kuwa Mbunge, cheo alicho nacho ni zaidi ya ubunge na urais,

Kagombee wewe acha kumuharibia mwenzio kwa kivuli cha kumshauri
 
Askofu ambaye akihubiri muhubiri huenda mubashara au live majimbo 26 ya USA na baadhi ya nchi za Ulaya na Africa then akagombee Ubunge it is ridiculous kama nia ni kusikia.

MTU ambaye unaingia zaidi ya million 80 kwa wiki akambee ubunge ni ngumu kama nia ni mapato

MTU ambaye anaweza kuhubiri siasa madhabahuni kupitia vifungu vya Biblia akagombee ubunge ni UJINGA kama nia ni siasa
 
Ili kuleta heshima jimbo la misungwi inabidi lichukuliwe na Gwajima akiwa ndani ya gwanda la khaki hapo ndipo ndoto za za bashite zitakuwa zimeyeyuka maana anampango wa kugombea ubunge 2020. Wakati wa kampeni na kwenda kusalimia Gwajima atakwenda kwa chopa Wakati Bashite atakwenda kwa range rover
Alafu abadirishe jina badala ya misungwi liiitwe mis(unga )
 
Ili kuleta heshima jimbo la misungwi inabidi lichukuliwe na Gwajima akiwa ndani ya gwanda la khaki hapo ndipo ndoto za za bashite zitakuwa zimeyeyuka maana anampango wa kugombea ubunge 2020. Wakati wa kampeni na kwenda kusalimia Gwajima atakwenda kwa chopa Wakati Bashite atakwenda kwa range rover

Gwajima ameshakueleza kuwa yeye ni zaidi ya Mkuu wa Mkoa, mkuu wa Wilaya, zaidi ya Mbunge, zaidi ya Rais.

KWANI YEYE NI MTUMISHI WA MUNGU AMBAYE ANAONGOZA WAUMINI HAWEZI KUGOMBEA NAFASI YOYOTE YA KISIASA, ATAKUWA DEMOTED.

HIYVO SAHAU KITU HICHO KWA MTUMISHI WA MUNGU.
 
Bashite hawezi gombea ubunge,issue ya cheti ambacho siyo chake itamsumbua,
 
LABDA ALICHUKUE "MSUKULE" HILO ANAWEZE LAKINI UBUNGE!!!!!!!!? ATALIOTA KWENYE NDOTO. by the way " HAJAWAHI KUFUFUA HATA PANYA"
 
Bashite hawezi gombea ubunge,issue ya cheti ambacho siyo chake itamsumbua,

Kabisa cv yake ishaharibika sidhani kama wananchi watamuamini tena hapo ndio baba yake kichwa kinamuuma na alitaka ampe uwazi akipata ubunge deal
Imefeli
 
Back
Top Bottom