Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,301
- 2,393
Kiswahili cha Kenya ukikizungumza Tanzania humalizi siku bila kukamatwa na polisi kwa uchochezi.
😂 😂 😂Mteja? wacha nikwambie maana yake.
Ukipiga simu halafu isipatikane si unajibiwa kuwa, "mteja wa simu unayempigia hapatikani kwa sasa." Sasa huko Kenya tangu zilipoingia simu za mkononi, mtu asiyepatikana huitwa MTEJA.
Aaaah! Rais wetu mteja.View attachment 1727637
hebu watake radhi wakenya kwa kweli.Kenya wivu unawasumbua, wanamtamani sana magufuli sema hawana jinsi
Nyie kwenu mnakufa kwa njaa? Acheni uvivu kila siku upo unapiga porojo hapa jf kumbe kwenye ukoo wenu mnakufa njaa?Bora wao wanawahesabu ila sisi ni zaidi ya hapo
Hayawatoshi, alafu yanaishia kwa matajiri!Mahindi yetu vp,bado wanagoma!?
Tanzania hio habari ni uchocheziWakenya milioni 1.4 hatarini kufa njaa!
Tanzania ikifikia watu milioni 1 wafe njaa ujue kenya nchi nzima watakufa njaaTanzania hio habari ni uchochezi
Tatizo kule, matajiri ndo ma landlord, sasa muda si mrefu wataanza kuikimbia Kenya.Hayawatoshi, alafu yanaishia kwa matajiri!
Wakenya wengi hata sehemu ya kulima sukuma wiki hawana
Huo ndo ukweli.wakenya kwa inshu ya leadership bado tatizo.ndio maana kwa EA ni vinara wa rushwa.hebu watake radhi wakenya kwa kweli.
It is their silent language mfano wa sisi tunasema mdenimark yaani anaye kudai am a Juma kilaza ikamaanisha Chakula kilicho lalaNadhani tunaelewa vibaya hicho kichwa; hatujaisoma article yenyewe but by definition kwao wao mtu asiyepatikana au kuonekana kwa muda fulani wao ndio wanasema MTEJA, bado sijaona hilo tatizo kabisa kama tafsiri yao ndio iko hivyo.
'Mteja wa nambari uliopiga hapatikani'. Safaricom yao hiyo kwa maana mtumiaji hapatikani."bado yuko mteja"
nini maana ya "yuko mteja?"
Hapana aisee.Huo ndo ukweli.wakenya kwa inshu ya leadership bado tatizo.ndio maana kwa EA ni vinara wa rushwa.
Kuna Watanzania wengi wanakufa kutokana na maradhi yanayosababishwa na lishe duniNyie kwenu mnakufa kwa njaa? Acheni uvivu kila siku upo unapiga porojo hapa jf kumbe kwenye ukoo wenu mnakufa njaa?
kwa hiyo,scandal ya rushwa Kenya.unasemaje!Wana wa overrate au!Hapana aisee.
JPM anavyopambana na kufanya mambo makubwa, wakati huo huo anakuwa pia anachochea sana upepo wa kisiasa Kenya bila yeye mwenyewe kujua. Hii hatimaye inapelekea wanacnchi wa Kenya kuanza kuwalinganisha viongozi wao na JPM, na pia kuwawekea target kubwa viongozi hao bila kujali mazingira ya kisiasa nchini kwao. Kwa mfano, wao huko wanapambana pia na Al-shabab, wakati sisi hiyo hatuna na Mungu andelee kupishia mbali itokomee kuzimu milele. Sasa haya yote wanachi hawayaangalii, wanachoangalia ni viongozi Kenya wafanye sawa na JPM, kitu ambacho siyo rahisi sana. Mazingira yetu ya kisiasa yanatofautiana sanaKenya wivu unawasumbua, wanamtamani sana magufuli sema hawana jinsi