Recent content by Mystic kamu

  1. Mystic kamu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mikeka yako nachukua ya kutosha ila Bado haijawa bahat
  2. Mystic kamu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oohoo salaleheee England wameharibu karibu kila tren
  3. Mystic kamu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona mikeka niliochukua humu yoote imeshindwa kutoa.daah mliopata hongereni
  4. Mystic kamu

    Je, binadamu ni mfano wa seli ndani ya umbile la Mungu?

    Hoja yako nmeikubali, kwa namna umesanifu ila bado haina majibu ya uhalisia kuhusu Mungu ila inaweza kukupanua uelewa zaidi kuhusu hicho kinaitwa Mungu.
  5. Mystic kamu

    Chanzo halisi cha binadamu (Origins of mankind)

    Nikuopongeze mleta mada, kwa mawazo fikirishi.Hata ivyo mm Ni msomaji.
  6. Mystic kamu

    Kwanini Mungu alikubali mwanae pekee afe ili tuokolewe na sio kumuua shetani aliye chanzo cha dhambi zote?

    Hiii script ya Mungu inaonekana kabisa Ni ya kutunga kwasababu in maudhui ya kizamani ambayo ina utawala wa kifalme( kingdom rein) .ndo maana wakati umekaribia wa kuachana na ngano hii. Kwasababu makosa yamekuwa mengi ktk kuitetea. Hata wateteaji watafika mwisho. Labda waunde mpya yenye usasa...
  7. Mystic kamu

    Huko Mbinguni tutaonana na Mungu uso kwa uso au atakuwa bado anajificha?

    Hamna kitu mbingu wala jehanamu ibilisi au Mungu uhakika zaidi kufa tu uko kupo.baada ya kufa Ni blank hamna kitu.
  8. Mystic kamu

    Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    Muda upo kwa sababu upo(akili ya kuujua). Mabadiliko ya kiumbo hayawezi kutuambia ndo muda ila uanaweza kutuambia uasili wa kitu kubadilika form. Kwa ufupi mda si halisia .
  9. Mystic kamu

    Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

    Ili ni janga la dunia,arafu maisha Sasa hapa Tanzania watu wengi wanalia kinafiki nmeona kwenye sikukuu hi ya idi watu wamekula wamekunywa. Vivyo hivyo ilivyokuwa pasaka .pia hapa tz Kuna migaawa ya gharama watu hawajawahi kukoma kwenda kula pale na ndo aho aho wanapiga kelele hapa jukwaani sisi...
  10. Mystic kamu

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Wewe hayoo ukiyataka watafute mbona wengi wanadanga club casino ila hapa tumshauri namna gani ya kuepuka hizo hisia mm naona hospital hawana dawa ya kutibu hii kitu Kiko beyond biological ila biological ndo in respond izo response . TIBA NI MOJA TUU NAYO INAFANYA NA WATU SPECIAL WA SPIRITUAL...
  11. Mystic kamu

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Nmesoma komenti za wengi inaonekana! Hi kitu ushoga hawakielewi hata hawataki kusikia kwa mashoga wenyewe wanaeleza kwa kuhisi kwao ama kwa kulingana na vitabu vya dini zao. Mm naona jamaa kajieleza vzuri shida Ni sisi kutomuelewa . Kuna siku mm nilizoea kunyoa saluni fulani kubwa pale tabata...
  12. Mystic kamu

    Kwanini Ukraine haishambulii Russia moja kwa moja?

    Mm nmeona Putin kama mbinafsi Sana kushambulia watu na kuwaua akisema eti operation maalumu ya kijeshi ya kuwaokoa wanyonge wanaoteswa na serikali ya Ukraine. HATA kama akili hauna huwezi kuona hapa Kuna kitu ambacho Ni against humanity. Kuna mchangiaj hapa ana tumia udini kuelezea hi Vita ata...
  13. Mystic kamu

    Mbunge Tabasamu adai mafuta yaliyoisha yameletwa na TPDC kwa $28, huyu wa sasa kaleta kwa $160

    China na India wananunua crude oil, mkuu uwe unafatilia mambo.
  14. Mystic kamu

    Waziri Makamba kwa kujua au kutokujua analihujumu taifa letu

    Mm sijui sana ila kwa maelezo yako Kuna harufu kitu sensible.
Back
Top Bottom