Recent content by mysee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gear box ya 1nz- engine

    asante, ameonesha ushirikiano binafsi amemaliza ila atacheck najamaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nahitaiji gear box ya 1nz engine, kwa mwenye nayo au ushauri wa wapi pakuipata iliyo bora na kwa bei ya kawaida
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gear box ya 1nz- engine

    Kwakuwa gear box yangu inazingua kwa mweye nayo au anayefaamu naweaza pata wapi iliyobora na kwa bei ya kwaida tuwasiliane 0713143195
  4. M

    JamiiForums Tanzania BVR Kilosa madudu tupu

    hahaaa mjii napo hope less moro kata ya Mazimbu mwenyekiti wa serikali za mitaa alijua kunatangazo siku ya deadline
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tochi za Trafiki barabarani balaa!

    Nilidhani utetezi tu wa madereva waliokuwa wanadai wanatozwa faini kwa kosa la mwendo kasi Over 50 Km/hr maeneo yenye tahadhari hii. Nikaona siku moja katika safari yangu nijionee, nilipo fika Mdaula eneo lenye maelekezo hayo nikapunguza mwendo mara gafla tokea ichakani akajitokeza afande...
  6. M

    JamiiForums Tanzania BVR Kilosa madudu tupu

    Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa imefanya ubabaishaji katika mchakato wa kupata wanaostaili kufanya kazi ya BVR baada ya kutoa tangazo la nafasi ya kazi hii kinyemela na kutoelekeza waombaji kuambatanisha vyeti vyao vya it kama halmashauri nyingine zilivyo fanya. Hili limepelekea kuwaacha watu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TFF yatoa maamuzi sakata la Ramadhani Singano 'Messi' na timu yake Simba

    hii mikataba inaandaliwa kishera na wanasheria au uhuni wa kitaani, haiingii akilini kugusihi mkataba, tuache blaablaa wabongo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kumuacha mume wa mtu

    usimtendee mtu usichotaka kutendewa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hii gari haina cha uwani, fundi anasema clutch plates zitakuwa zinatatizo thus reverse inazingua. Naomba uzoefu wenu wadau. Toyota Sienta.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba kujulishwa kuhusu S na B kwenya maana Hii gari ni staff gear naelewa P, R, N, na D. Sasa when and where to apply S & B.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante ndg itagata uzoefu Tyre impalas muda gani kabla ya expire date,?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba Masaada wa jinsi ya kusoma Tyre za GARI manufacturing date.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Muhongo aanza ziara ya siku sita kukagua miradi ya umeme mkoa wa Mara

    kwani amechota ngapi? nashauri asijiuzulu mpaka miradi aliyoianzisha ikamilike.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Singa Singa ameiweka serikali ya Kikwete mfukoni

    kwahiyo no. 1 naye yumo kwenye mgao! mbona hujafunguka kisawasawa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala aikemea CCM na kuikubali UKAWA

    ameongea vizuri, hasa aliposema watz wanaangalia mtu sio chama, ukiweka mtu safi hutapata kazi kumnadi wakati wa kampeni. ni kazi kuanza kumsafisha mtu kisha uanze kunadi sera za chama.
Back
Top Bottom