Asante sana, jamaa anadai hata yeye hakutegemea kwani ghafla baada ya chakula cha jioni, mwanamke akamwambia mshikaji, baby naomba nikueleze historia yangu tulivokua wachumba, jamaa alihisi utani akamruhusu. Ananambia baby alitiririka mpaka jamaa alipomwambia basi inatosha.
Habari wanajamii! Kuna jamaa yangu yupo kwenye ndoa kwa miaka saba sasa na wana watoto wawili. Kabla ya ndoa, walidumu kwenye mahusiano na mkewe kwa zaidi ya miaka kumi. Juzi wife kamtajia jamaa list ya wanaume aliotoka nao enzi za uchumba. Hiyo list ni balaa mpaka waume za watu, wanafunzi...
Mtoa hoja naona kama umefikia ukomo wako wa kufikiri...Akili ya Lowasa na ya kwako zinafanana...unaonekana wazi unamoyo wa kifisadi. TAR 25 OCTOBER Mtaisoma Namba
Pata ajira bila kuacha ajira yako ya sasa ili kujiimalishia kipato Earn 10$ Per Task online Job within 30 Seconds | Online Income from Easy Task and work!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.