Tatizo haliko kwa watoto Mkuu... Albert Eistein alisemega "children acquire intelligence from their mother"!! Sasa mama zao wengi hawana akili wewe unategemeaje watoto wawe na akili
This is not fair... sasa fanya kitu kimoja, wewe si haumpendi huyo mwanamke? nitumie namba ake PM.
I promise baada ya kama siku tatu iivi text zake kwako zitakua "mimi naona tuachane tu kwa sababu hata sioni future na wewe".
Trust me; anakusumbua kwa sababu hajapata mwanaume mwingine kama wewe...
Nilichokitumia kipindi kile ni hiyo heading yako Mkuu ya "ukipendwa, pendeka" which actually it doesn't work kwa wanaume wengi. Ulichokizungumza hapa ndio nimekitoa kwenye My take pale chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.