Recent content by myenzialex

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Pikipiki za kuchaji

    Na Mimi naomba nijue Bei yako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Yanayotokea Tanzania ni maigizo ya marehemu kanumba
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama uliolewa na hukuwa bikra usiwe na wivu

    Hujaelewa nini wengine kiswahili sio mdomo wao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kuapishwa kwa Donald Trump, rais wa 45 wa Marekani

    Magu hata kiluga hajui trump hata hamjui sijui kama hata barozi wetu alialikwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Diamond, Vanessa Mdee na Ali Kiba kuwania tuzo za Sound City MVP Awards 2016

    Timu wanyamapori mbona siwaoni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Mbeya msimsogelee wala kumpigia kura Sugu

    Yaani huyu aliyeandika anaonekana ana matatizo ya akili
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

    Hivi daimond kawakosea makosa gani mpaka wakampa asiyejua kucheza ushereheshaji bora Eti Ali kiba ndiye mshereheshaji bora? Hivi bella makosa yake ni yapi nani kama mama ukiimbwa mpaka akina mama wanalia kweli wimbo uliopendwa ni mwana Dar es salaam! Mimi nashauri daimond na bella wajitoe kill...
  8. M

    JamiiForums Tanzania New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

    Poleni sana tm vichocholo diamond ni nouma
  9. M

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo Mbozi, yazidi kutoboa

    Hela ya card mia nane mmeitoa wapi na waume zenu wako bize na kutangaza nia
  10. M

    JamiiForums Tanzania John Magale Shibuda: Kilio cha samaki

    Ukawa ni mkombozi wa kweli na ndiye mwenye jehanumu ya kuunguza ufisadi wa Yeyote aliyekula vya watanzania Juliana una Jina la mama yangu lakini unaandika post za kipumbavu wewe ushapewa taraka kauze kimboka dizaini yako cdm haina mteja
  11. M

    JamiiForums Tanzania African Achievers Awards - Letter to Diamond Platinumz

    Kitu kizuri ni kizuri tu kenya kiingilio cha daimond ni kufuru sisi wakenya tunapenda Kitu kizuri daimond hata akiweka kiingilio laki moja ya Kenya ukumbi itajaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Poleni sana dunia kwasasa inajua Hakuna kama diamond Davido aliposikia kaandika vitu vyake anasema ni Sawa kwani daimond ni msanii wa kimataifa aziache hizo tuzo za wasiojiweza
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimeoa nina miaka mitatu, mama yangu na dada wanadai mtoto niliyezaa hafanani na mimi

    Kitanda hakizai haramu dna siku hizi hawasemi ukweli kuogopa usije ukafanya mtoto apate shida
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya watangaza nia wote, yupi umeona anafaa?

    Hakuna msafi ccm
Back
Top Bottom