African Achievers Awards - Letter to Diamond Platinumz

African Achievers Awards - Letter to Diamond Platinumz

Hongera sana Diamond

Hii inaheshima sana sana, kwa jina lako kupendekezwa ni ushindi mkubwa.

********

Kumpigia kura za MTV

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

MAMA 2015


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************

wewe binadamu nakukubali sana big up mkuu
 
Yaaan team Mondi na wale wote wasio na team ila wana mapenzi bora na Mondi hizi ndo nyuzi za kuchangia na sio zile nyuzi zinazoletwa hapa jukwaani kwa chuki kali kwa sababu ya kuachwa.
 
wait and watch atakapo anguka ndio mtajua kua public ndio tulimuweka halipo na hana kipaji kama ana kipaji akawashawishi wakenya waganda na wasouth wampigie kura tunambeba anatutukana.ngoja sasa picha linaanza

Akili hizi ndio zinatupa Marais hovyo tangu enzi na enzi. Hivi hujawahi hata kupata muda kufikiria Diamond hapo alipofikia amesaidia Watz wangapi kuongeza kipato?

Weka sababu sio blah blah tu.
 
Mkuu nakuhakikishia diamond ataendelea kuwepo juu as long as mungu anampa uhai achana hizi porojo za msimu haka kaupepo ndo kanazidi kumuimarisha bila wenyewe bila wenyewe kujua ndo wanamjenga hawajui , diamond is very possitive guy and focused, tuendelee kuomba uzima kushuhudia mafanikio yake, ukishajenga msingi mzuri mvua ya mawe, upepo na vumbi vitapita na nyumba itabaki


i Agree with you
 
Hongera sana Diamond

Hii inaheshima sana sana, kwa jina lako kupendekezwa ni ushindi mkubwa.

********

Kumpigia kura za MTV

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

MAMA 2015


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
nakupenda sanaaa wangu saaana basi tu
 
Napata shida ku sign up kwenye link msaada pls niVOte

fungua hiyo link na bonyeza Sign In - chagua kutumia facebook, twitter au e-mail

kama unatumia e-mail basi bonyeza, halafu utaona maneno

Need an account?
Create one now. (bonyeza maneno hayo ya blue)

bado utaulizwa kuchagua kati ya hizo tatu juu

kama ni e-mail basi weka details

hakiki wewe sio robot kwa kukopi namba/herufi

weka tick kibox cha mwisho kinachoanza kwa kusema

by clicking.....

halafu bonyeza create account na unaingia

waweza kupiga kura mara nyingi kwa kila kategori utaona majina ya watanzania na nchi imetajwa. (inachukua dk chini hata ya 2/3 au 1 ukiwa na spidi kufungua)

Pamoja kuipeperusha Tanzania.

 
Wait and watch atakapoanguka ndio mtajua kuwa public ndio tulimuweka halipo na hana kipaji kama ana kipaji akawashawishi wakenya waganda na wasouth wampigie kura tunambeba anatutukana.

Ngoja sasa picha linaanza.

Mimi si mshabiki wa mziki kabisa ebu naomba unisaidie kitu kimoja na mimi labda nitaelewa hivi huyu dogo mondi alitukana nini tena na wapi ili na sisi tuwe na sababu ya kuzima redio zetu akiimba i see msaada please.
 
naaamin n mungu pekee ndio mwenye uwezo wa kumshusha mtu na kumpandsha na c binaadam ila binaadam mtabakia fitina zczo na maana nltegemea tz nzma imchukie mond kumbe n watu wapambav ambao hawajui lolote na n roho mbaya tu akuna jengne mond gooooo
 
Diamond-SA-Awards.jpg
jamani hii haihitaji kupigiwa kura..ndio tayari ashachaguliwa out of 1501 nominees..

Hii ni Tuzo ya Heshima so haina kupiga kura amesha chaguliwa tayari TENA kati ya watu 1502 Yeye ndo Bora zaidi.Kwa wale walio Pasuka nyongo Matumboni mwao kwa kuona ameteuliwa Hospital ziko wazi na kwa wale walio jisikia vibaya ama kichefuchefu Tapikeni tu mana malimao yame wazoea.
 
Back
Top Bottom