Recent content by MYCROPOST

  1. MYCROPOST

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

    Inawezekana. Mbona mimi ni Mtu tena wa Equatorial Climate kabisa na nimeweza kuwa na mke mmoja na sina mchepuko? Kwanza kitambo nilipata changamoto kidogo, nikagundua ni kukaa chini na wife na kumwambia hata kama tumekosana, ahakikishe huduma hii muhimu ipo full-time, na hivyo huwa siwazi kabisa...
  2. MYCROPOST

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

    Dawa ya yote haya ni kuoa mke mmoja na kutengeneza nae familia. Cha msingi ukae nae na katiba yenu ijulikane na ibara zake zote. Priorities zote ziwe ni nyinyi tu, si nani wala nani, nyie kwanza. Hata kama mmoja ndo mleta pesa, mwingine ajue majukumu yake. Mwanaume epuka michepuko, hao...
  3. MYCROPOST

    JamiiForums Tanzania Software Developer natafuta fursa ya kazi, projects au washirika wa biashara - nina mifumo 6 niliyoiendeleza

    Hiyo ya Shule ni pesa tosha. Ondoka ndani humu uende utembelee mashule na taasisi mbalimbali za elimu. Kuna hadi vyuo bado vina changamoto ya mifumo ya kuandalia matokeo. Njoo Mwanza au tembelea Simiyu... Soko ni kubwa sana huku. Fika shuleni uwape demo waone na unaweza piga hela ukashangaa...
  4. MYCROPOST

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Damu ya Watanzania haipo mikononi mwetu CCM, chama hakikuchukua silaha kumdhuru yeyote, Oktoba 29, 2025

    Kwamba chama hakijaua, na ni chama tawala, na kazi ya vyombo vya dola ni kulinda raia na mali zao, na kwenye vurugu ile, vyombo hivi viliamua kulinda taifa, na raia na mali zao zikajikuta hazina mlinzi maana mlinzi analinda taifa, raia wakafa. Na sasa tunasubiri ripoti ya jaji. Je, chama...
  5. MYCROPOST

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wowote kuhusu safari yangu ya muziki, sikutegemea itakua ngumu kiasi hiki

    Pole sana. Mi mwenyewe ni msanii wa muziki. Nilianza harakati hizi 2007 nikiwa Form II, nimekaa kidogo Kenya, na mwaka 2014 nilienda studio kwa mara ya Kwanza huko Mbeya City, nikarekodi wimbo unaitwa "Am Very Busy". Baadae 2015 na 2016 nikarekodi "Never" na "No Money" na baadae "So Different"...
  6. MYCROPOST

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni namna gani ninaweza unganishwa ili nami niwe napata updates za kukatika kwa umeme au kama kuna matengenezo eneo langu? Niko Mahina Kati, Nyamagana, Mwanza. Huwa naona wenzangu wanapata SMS juu ya kukatika kwa umeme na matangazo mbalimbali ya TANESCO, lakini mimi wala, mpaka najiuliza, hawa...
  7. MYCROPOST

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma kwa Wateja Taasisi za Serikali ni shida, mfano TaESA hawapokei simu/hawapatikani

    Hapa Mwanza kuna MWAUWASA na hawapokei simu. Wakipokea hawaongei, wakiongea unaambiwa suala lako watalifikisha mahali husika, na hapo hakuna kinachoendelea. MWAUWASA Makao Makuu huduma kwa wateja hawapokei simu, na muda mwingine ile Toll Free number haipatikani au haipokelewi hata upige mara...
  8. MYCROPOST

    JamiiForums Tanzania KERO Uhaba wa Maji Mahina Kati, Mwanza

    Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa Tanzania baada ya Dar. Ziwa Victoria (Nyanza) ni sehemu ya jiji hili, na ukiwa maeneo mengi ya jiji hili, unaweza kuliona ziwa kwa macho. Cha ajabu, licha ya ziwa hili kuwa karibu na kuwa sehemu ya jiji, kuna uhaba wa maji wa makusudi maeneo mengi ya jiji hili...
Back
Top Bottom