Recent content by myangle

  1. M

    Kwanini wadada mnakuwa wachafu kiasi hiki?

    Inategemeana na ww kakukuta kwenye mazingira ganii kama unamademu wengi jee
  2. M

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Nipo Kilimanjaro nazipataje?
  3. M

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Jamani mwenye series kali nahitaji ,nitatoa hata pesa ikiwemo game of throne
  4. M

    INAUZWA Nauza IPad 3..!!!

    Kuna 40 cash hapo vp
  5. M

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mahitaji TV ya chogo kubwa kuanzia 32inch naweza pata nipo Mwanga Kilimanjaro
  6. M

    Computer4Sale Laptop na Tablet mpyaa kwa bei pouwa: 30% discount

    Mkuu mbona hujibu SMS whatsApp
  7. M

    Computer4Sale Laptop na Tablet mpyaa kwa bei pouwa: 30% discount

    Mkuu taja bei kwa kila laptop
  8. M

    Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

    Sio kila siku Bali kila nafasi inapopatikana
  9. M

    Wanaume: Vijue visa vya michepuko

    Tehtehteeee nimecheka sana mtakoma na michepuko full ubunifu
  10. M

    Maalim Seif: Dalili zinaonyesha Magufuli ni Dikteta

    Wewe hujielewi utaendelea kushikiwa akili tu kwa fikra hizo
  11. M

    Maalim Seif: Dalili zinaonyesha Magufuli ni Dikteta

    Mkuu naona unajiondoa ufahamu unajua ya kuwa Rassia mpaka leo hakuna democrasia unayoipigia kelele.Na je yaliyotokea Misri yameleta unafuu wowote kwa wananchi wa kawaida zaidi aliondoka manajeshi amerudi mwanajeshi fikili upya punguza mihemuko
  12. M

    Natafuta mtu makini wa kushirikiana na mimi kuwekeza katika kilimo

    Mkuu katavi unapatikana wapi nine kujifunza maana najipanga kuanza shughuli za kilimo kama ajira yangu mpya
Back
Top Bottom