Recent content by myama sana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtumba shop

    Habari, nilikua na wazo la kufungua duka la nguo za mtumba za kupoint sasa naomba mwongozo wa jinsi ya kidizaini chumba kiwe na muonekano mweny picha ya muonekano wa chumba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukiagiza mzigo kwa Alibaba unaletewa mpaka mkoani?

    Habari wakuu, Mimi nataka niagize mzigo Alibaba je unaweza kufika mpaka mkoani au nafanyaj alie wahi fanya biashara na alibaba au app yoyote anipe ujuzi please
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habar naomba connection ya ballo za mitumba kwa bei ya jumla
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    14:4 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hili tukio la Mbwa kulia sana usiku

    mbwa anaogopa gza Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mpangaj mpyaaa

    Nipokeeni Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume fanya haya

    1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye mwenyewe hajipendi. 2. Mtafute MUNGU kisha tafuta mwanamke bora. Ukiwa na hayo mambo mawili, suala la hali ngumu ya uchumi binafsi (financial freedom) litaji-solve lenyewe. 3. Mwanaume bora hapimwi kwa idadi ya wanawake aliolala nae kwa sababu 'sex' ni jambo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kumuacha aende

    JIFUNZE KUMUACHA AENDE • Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha. MUACHE AENDE ! • Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

    MADHARA YA KUFANYA TENDO LA NDOA WAKATI WA HEDHI. Kufanya mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana (hedhi) ni hatari sana. Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili. Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajali sana afya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kuweka akiba

    Me kote huko sipo ila ninashidwa kuitunza ela nikiweka nkijarib kuweka akiba nikipiga hesab niona ni kias kdg natumia tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kuweka akiba

    Kwa sku nalaza 50,000
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kuweka akiba

    Form 4 miaka 20
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kuweka akiba

    Wana Jf habari, Ninaomba ufafanuzi jinsi ya kuweka akiba maana mimi sijui jinsi ya kuweka akiba. Asante
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kumuomba mwanamke tunda

    Da baba bure wewe
Back
Top Bottom