Recent content by my voice

  1. my voice

    JamiiForums Tanzania Mange achoma moto kadi ya CCM live

    impact yake ni kubwa sana mkuu angalia followers alionao..wengi wao ni wadada na ndio waliopigia kura ccm kwa kiwango kikubwa...
  2. my voice

    JamiiForums Tanzania Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    looh afadhari ntalala kwa amani maana hata chakula kiligoma kabisa nimelala bila kula..
  3. my voice

    JamiiForums Tanzania Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    naunga mkono hoja
  4. my voice

    JamiiForums Tanzania Lowasa Ajimaliza, uchu wa madaraka wampeleka CHADEMA,uamuzi wake wapondwa kila kona

    sitarajii ndugu wa mwanaume wamseme vizuri mwanamke aliemuacha kaka yao....
  5. my voice

    JamiiForums Tanzania Ombi: Kipindi maalum ITV usiku leo

    saa tatu na nusu inarudiwa wakuu
  6. my voice

    JamiiForums Tanzania Nini hasa chanzo kikuu cha Mapato ya TV / Radio Stations?

    Vinalipa sana tu hasa ukiwa na wasimamizi wenye weledi mkubwa lakini pia wawe ni watu ambao wanajua na wameishi ndani ya tasnia hiyo... Kuna mambo mawili hapo: LOW RISK = LOW RETURN: Yaani hapa ukiwekeza mtaji mdogo katika media industry basi na return yako itakua taratibu sana maana utatoa...
  7. my voice

    JamiiForums Tanzania Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

    huna tofauti na huyo jamaa mwenye shati jeupe na tai nyekundu kwenye avatar yako..maana nae huwa hana muda wa kusoma ili kuhakiki speech aliyoandaliwa huwa anakurupuka na kuanza kuisoma bila kujua content ya anachoenda kuzungumza.....umeambiwa ni makamu mwenyekiti wa nccr mageuzi zanzibar sasa...
  8. my voice

    JamiiForums Tanzania Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

    kumbe ili katiba pendekezwa kupitishwa wajumbe walipewa rushwa and if yes basi kumbe ile katiba haina maslahi kwa wananchi bali kwa baadhi ya viongozi.
  9. my voice

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie za Bongo Siziwezi

    nilichoka kuna siku nlikua mbeya nikawa nasikiliza radio moja inaitwa bomba fm...marehemu kanumba alikua anafanyiwa interview...mtangazaji akamuuliza "kwa mwaka unaweza kufanya movie ngapi zako binafsi na za kushirikishwa" jibu lake likawa"nina uwezo wa kufanya movie zangu mwenyewe kila baada ya...
  10. my voice

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie za Bongo Siziwezi

    tukiacha teknolojia hata wao tu hawapo serious...kuna vitu vingine vinahitaji akili tu na kujiongeza..kwa mfano kuna movie ya kibongo nikaona eti jini linaagiza redbull bar na wakati wa kuvuka barabara jini linaangalia kulia na kushoto...sasa hapo si hata mtoto mdogo ataona they are not serious!!!
  11. my voice

    JamiiForums Tanzania Sijapata ona Jeshi la Polisi bora kama hili la sasa tangu Uhuru

    mtoa mada hamaanishi anawasifia polisi mkuu yuko against nao kabisa...hi ni kama kumsifia adui ili kumpumbaza ajione hakuna zaidi y yy
  12. my voice

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri Jipya 2014 likihusisha vyama vingine!

    kwa jinsi ninavyoelewa hili baraza ni kwa mujibu wa katiba ya sasa na pia ikukmbukwe kuwa hili ni bunge la bajeti namuundo wa sasa kwa mujibu wa katiba ya sasa unatakiwa kuwa hvi.kinachopiganiwa na ukawa katika bunge maalumu la katiba ni rasimu iliyotolewa na tume ya mabadiliko ya katiba ambayo...
  13. my voice

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani sio Fisadi au Msanii

    daaaah.....jamaa kasema serikalini.
  14. my voice

    JamiiForums Tanzania Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!!

    mkuu sio warioba aliepingana na mwalimu ni wananchi ndio walipiopingana na mwalimu..by the way naamini muungano sio msahafu kwamba usiguswe.
Back
Top Bottom