Recent content by My Sons Legacy

  1. My Sons Legacy

    Sipendi tabia ya Mwanamke kujifanya hajui kilimchomleta faraghani

    Hii kwangu inachekesha, unataka mwanamke awe Straight kwenye mambo yake kama mwanaume IMPOSSIBLE... Mwanamke ni Chaos brother wana Flow isiyoeleweka it can be in anyway You are the Structure / Order
  2. My Sons Legacy

    Elon Musk na matarajio ya kusaidia vipofu kuona kuanzia mwaka 2026

    Understand the Universe_ The way Elon alivyo ndivyo MASCULINITY ya kiungu inavotakiwa kuwa.....
  3. My Sons Legacy

    Poverty creates the illusion that money is valuable

    Sijakuelewa vizuri...... Lakini jamii kama maasai au hadzabe na wengine naona still wana kosa kitu furani kwenye maisha yao. Money is very good thing kwakweli I love it, Fedha inaleta mambo yote mazuri utakayo taka kwenye maisha yako Ok fine kama mtu hujui chochote kuhusu hizi pesa iwe sarafu...
  4. My Sons Legacy

    Poverty creates the illusion that money is valuable

    Mambo mengi sana hayaja fundishwa kuhusu PESA, Paper money and coins ni "Dense or Unclear expression" tu ya Fedha harisi..... Na kuna namna nyingi Emotionally watu wanafanya daily ku-lisha ile illusion of Paper money bila kujua, kitu ambacho kinahakikisha uwepo wake kwenye maisha yako Wealth...
  5. My Sons Legacy

    OpenAI Wametupiga kwenye GPT5

    Uko vizuri sheikh
  6. My Sons Legacy

    Why women test your emotions?

    Kitabu chake The way of the superior Man by David Deida
  7. My Sons Legacy

    Kuna watu karibu kila siku mchana wanalala, mnawezaje?

    Mimi binafsi nimegundua kuwa nahitaji usingizi mwingi kwahivyo ni lazima nilale masaa mengi.....Na sababu ikiwa ni nahitaji usingizi kwa minajiri ya reprogramming ya ubongo Hata wao nahisi ni hivyo pia, Japo in some cases inakua ni ugonjwa
  8. My Sons Legacy

    Nyumba yenye vyumba vitatu inauzwa Tshs.59 milioni, Goba njia nne

    Ukiifanya ukarabati unaweza kuiuza zaidi.. Nyumba ipo vizuri
  9. My Sons Legacy

    Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Sahihi These are not real moneys, Ni makaratisi tu yenye Wino, Maandishi na udambu udambu mwingi. Real money is somewhere else inside of your being. Discover it
  10. My Sons Legacy

    Jifunze kuhusu AURA yako

    Aura, The manifestation of everything that you are... Manifestation ( kudhihirisha /kuweka banaya into physical realms ) Hata Maelezo/Comments zinazotolewa humu zinatoa picha of whom this guy might be
  11. My Sons Legacy

    Je inawezekana kubadilisha harufu ya mwili kwa kutumia vyakula?

    if you make your MIND right, you make everything else right. Just be positive full throttle...unataka kumaintain vyakula vya mboga mboga unaweza ?
  12. My Sons Legacy

    Kwa mara ya kwanza nimeona mwanaume analia kwa sababu isiyohusisha msiba wala mapenzi

    Maisha yanabebesha watu mizigo miiingi mpaka wanashindwa kudeal na matatizo yao binafsi....Mzee kashindwa kutatua tatizo la mwanae anabaki kufoka tu. Probably kichwa chake kimekua occupied na mambo mengine kabisa There is a possibilitiesssss.
  13. My Sons Legacy

    Siielewi hii kampeni: Mtoto wa leo ni Samia wa Kesho

    Samia or Samiyah (Arabic: سامية sāmiyah), also spelt Samiya, Sameea, is an Arabic female given name meaning “elevated, exalted, lofty”, “high of prominence, eminence, glory, distinction”, “aspiring to the highest distinction, honour, sublime, proud, noble-minded of ethics and morals
  14. My Sons Legacy

    Wauguzi katika hospitali za zamani walitambua umuhimu wa mwanga wa jua katika kuimarisha afya za wagonjwa

    Intensity ya jua mchana ni kali. Ni vizuri sana hapo unakua Charged vyema. Tofauti wakati wa jua kupanda na jua kushuka
Back
Top Bottom