Recent content by my own

  1. my own

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Biashara ya boda inahitaji wew mmiliki uwe na akili ya ziada kucheza na akili za hawa madereva. Kwa sababu wengi wao hawana malengo ya wanacho kifanya wanafanya ili wale, wavae, na kufanya vitu vidogovidogo akishapata pesa ya kula kwa siku si ajabu akasahau pesa ya mwenye chombo. Ukiwaacha...
  2. my own

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said, kielelezo halisi cha wachambuzi wa mchongo

    Toka lini mtoa zawadi anapangiwa kiwango cha kutoa?. Ni moyo wake umemsukuma kukupa zawadi then uje eti ooh hii zawadi hainitoshi kwa sababu si hadhi yangu. Si itakuwa uzuzu huu jamani hii itakuwa ni bongo tu
  3. my own

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wout gives exactly what ETG wants but not what the fans want from. For me i can say its one of important signing of January according to ETG specifics
  4. my own

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

    Refa quality ni very low
  5. my own

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Refa kaamua kuwakataa waarabu cha ajabu wachezaji wa simba nao wamemkataa refa
  6. my own

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

    Madalali bwana khaah!!
  7. my own

    JamiiForums Tanzania Azam TV wekeni mizania sawa imani ya dini

    Hii kampeni inatosha sasa tumesikia.
  8. my own

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam imekuwa ngumu, misafara ya Viongozi inatesa wananchi

    Jana wameniweka 2 hours pale majumba 6 sijui ni nani mbuzi yule na hata hiyo ndege yenyewe hata kutua ilikuwa bado kama ilikuwa ikitoka dodoma basi nadhani ndio ilikuwa ikianza safari. Just imagine wew ndio unaanza safari lakini kuna watu watoka mbali chanikaa huko au kisarawe na anakwenda...
  9. my own

    JamiiForums Tanzania Nawachukia sana Polisi

    Ukifanya vitendo visivyo vya maadili chini ya mwamvuli wa taasisi ya umma bila shaka utakua imeichafua taasisi. Naomba kufunga mjadala
  10. my own

    JamiiForums Tanzania Nawachukia sana Polisi

    As long as anayeyafanya hayo huyafanya akiwa na sare za jeshi la polisi na utambulisho pia wa jeshi la polisi maana yake ipo pale pale haijabadili kitu. Na waswahili wanasema "samaki mmoja akiozaa......" Maana kama jeshi limeshindwa kusimamia maadili ya mtumishi mmoja wa jeshi simply jeshi zima...
  11. my own

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bruno has something in his mind
  12. my own

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

    Kwa Africa sasa nadhani prof hammo ananikosha zaidi
  13. my own

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni namba 3 kuchangia Pato la Taifa ila haipo kwenye 10 bora mapato ya TRA. Hii kiuchumi imekaaje?

    Mimi nadhani shughuli kubwa za watu wa huko ni zile ambazo ni ngumu kufikiwa kwa ukusanyaji wa kodi kirahisi lakini pia uzalishaji mkubwa ni raw products zaidi. Ambazo ni ngumu kuwepo kwenye scope ya kodi. Mfano naweza kulima gunia 100 za mpunga nikaziweka stoo wakati wa kuziuza ni ushuru tu wa...
Back
Top Bottom