Recent content by My Joash

  1. My Joash

    JamiiForums Tanzania Simuulizi/documentari nzima ya kusisimua kwenye harakati za kuzima moto mlima Kilimanjaro na nilivyoshuhudia kifo mbele yangu lakini nikapona

    Yaani naifuatilia kwa hamu,pole kwa changamoto,pambana uiweke hapa
  2. My Joash

    JamiiForums Tanzania Serikali kujaribu kutumia Helikopta ili kuzima Moto unaoendelea kuwaka Mlima Kilimanjaro

    Salaam wakuu,naomba mlioko Kilimanjaro mtupe taarifa ya uhakika,nini chanzo cha moto unaowaka hapo mlimani!? Je, harakati za uzimaji zimefikia wapi? Nasikia bado unawaka na ni mkubwa. Je, ni kweli?
  3. My Joash

    JamiiForums Tanzania Kilimo kwa njia ya mtandao

    Nimewakwepa mkuu,sitaki machungu
  4. My Joash

    JamiiForums Tanzania Kilimo kwa njia ya mtandao

    Kweli mkuu
  5. My Joash

    JamiiForums Tanzania Upi ni uzi (thread) bora kwako na unatamani wengine wausome?

    Kweli,hata mimi niliufurahia
  6. My Joash

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchunga wakati tukiwa wadogo tukutane hapa

    Nini kilitokea?
  7. My Joash

    JamiiForums Tanzania Kupunguza chumvi kwenye maji ya visima ili yafae kunywa

    Yaani hilo somo la kemia naliogopa !!!
  8. My Joash

    JamiiForums Tanzania Kwa hatua niliofikia hivi sasa naona bora nife kwa maana nimefeli hatua zote katika maisha

    Yaani nimecheka hapo mwanzon mwa thread yako. Yaani nimefurahi unavyoikubali hali yako.
  9. My Joash

    JamiiForums Tanzania Kwa hatua niliofikia hivi sasa naona bora nife kwa maana nimefeli hatua zote katika maisha

    Usijiue,narudia tena usijiue,nenda nyumba za ibada,pata muda wa kusikiliza mafundisho ya neno la Mungu,Bwana Yesu anasema " njooni kwangu nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha.jishughulishe na mambo ya Mungu,kidogo kidogo utaanza kupata amani.
  10. My Joash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za Malezi: Ukigundua umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini? Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?

    Junior ana hisia,ana mawazo,ana kila kitu km mim,tofauti ni umri kuwa mdogo,hivyo namkuza ajue kuheshimu hisia za wengine na aje kuwa raia bora
  11. My Joash

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za Malezi: Ukigundua umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini? Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?

    Mtoto akikosewa anaombwa msamaha kabisa,yeye ndipo anapojifunza kuwa akikosea naye aombe msamaha.maisha ya famiia ni uwazi na ukweli ndiyo hunogesha mahusiano,hata km ni mtoto wa kindergaten unamwomba tuu.mf ohh mwanangu nilikosea nilipokugombeza kumbe siyo wewe uliyemwaga maziwa,nisamehe...
  12. My Joash

    JamiiForums Tanzania Addressing People: Kwanini baadhi ya watanzania wana tabia ya kupenda kuwafafanua binadamu wenzao kwa kutumia ulemavu/udhaifu wa maumbile walio nayo?

    Kweli kabisa,au ile tabia ya mtu kumcheka kilema,kumwonyesha dharau nk,sii njema kabisa,utamkuta mzazi anamwambia mwanawe " mwone,masikio km ungo," yaani sipendi kabisa.
  13. My Joash

    JamiiForums Tanzania Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

    Ulimpa?
  14. My Joash

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na future yangu. Naitaji mawazo ili nijinusuru

    Mdogo angu,mshukuru Mungu kwa kazi nzuri,kisha chukua hela kiasi uwekeze ili huko kuwekeza nako kukuingizie,waweza nunua viwanja then ukaviuza,jenga nyumba za kupangisha nk
Back
Top Bottom