Recent content by my friend

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    Una uhakika na usemalo? Wanaume wa Tanzania ndivyo walivyo! Unaongea tu! Mbona mimi ni mtazania na sipo hivyo! Badala ya kumpa ushauri mwanamke mwenzako unakandia wanaume. Wewe umeolewa kweli?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Kura za mateja zitakuwa na alama? Unaandika lakini? TAFAKAKARI CHUKUA HATUA
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabalozi mia moja wa CCM Monduli, wahamia CHADEMA

    Itabidi mwishoni pale nae atangaze kuhamia upande wa pili kabla ya uchaguzi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nisaideni point za kuwaambia wapiga kura wangu

    Sioni kinachokupa wasiwasi kwani watanzania wanatawalika kirahisa sana! Kwanza hawajitambui. Unaweza kuwaambia kila siku wawe wanakwenda polisi kuchapwa nakora na usione wa kulalamika hata mmoja.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Oyaa basi hapo Makutopora a.k.a Makutu, mnakumbuka ule mlima Kitunda? Ilikuwa ndo sehemu ya kufuata mawe ya kujengea. Basi kulikuwa na maandishi kibao yalioandikwa na intake zilizipita. "Wanyani" nilikuwa kombania ya mtunduruni E-coy operation miaka 25 ya JKT namkumbuka afande Msalaba, Semwenda...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano (nyomi) ya kutisha yaliyowahi kutokea

    Sio kweli Pope John Paul II alikuja 1990 na alifanya ibada pale Jangwani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ngoja nijaribu kufungua dimba la majina ya Koo mbalimbali nchini Tanzania

    Tatizo mnajifamya mmesoma hivyo mnaona hii mada ni ujinga
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu kama huyu anapewa adhabu gani?

    Kwa hiyo hatuna muda na mada zisizo na tija.
  9. M

    JamiiForums Tanzania ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

    Mbona TBC1 wanaipigia debe CCM na hamsemi? Au hamuoni hilo?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa abwaga manyanga!

    Mnaandika lakini? M/kiti wa ccm na katibu mwenezi wa mkoa wa Arusha wamejiuzulu nyadhifa zao na kuhamia CHADEMA
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Ezekiel Mwambopo Unatumika au Channel Inatumika? AMG Mmekula SUMU Gani Mbaya?

    Wewe wa LUMUMBA a.k.a Magamba mbona huendi na wakati? Huu ni mwaka WA Mageuzi ni mwaka wa Ukombozi. Halafu huyu mtangazaji inaonesha ni kiasi gani anajitambua. Naona wewe hujitambui
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Eti nae aligombea urais! Watoto wakiona picha yake wanaweza kuzimia!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    Nilidhani ni mimi peke yangu nashindwa kutofautisha. Maana katoa sababu nyepesi sana. Inaonekanaka kabisa hana ukomavu kisiasa! Anazungumzia katiba ambayo tayari imekwama.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

    Wamefunga ndoa lakin?
Back
Top Bottom