Mie najiuliza niingie na corus gani mwaka huu? Kama barabara tayari zimekamilika kwa kiwango cha lami, umeme wa Muhongo ndo week iliyopika umekamilika, maji tunamalizia kuweka umeme tuanze kusukuma maji mradi tayari, kila kijiji kina shule ya sekondari tena hadi form six, vituo vya afya kila kata na zahanati kila kata, vijana tumeshawakopesha boda boda, kijijini kwetu akina mama hawapiki mama ntilie.
Sasa niwaambieje wananchi wangu?
Sasa niwaambieje wananchi wangu?