CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

naona kama JF ni cdm tu. Mnaandika ninyi tu. Sisi tusiokuwa na chama tutaachana na JF kwani imekuwa cdm tu
 
Hivi ni chama gani hasa kinasambaratika:
Ambacho mgombea mmoja baada ya kukatwa kakihama na wanaomuunga mkono au aliyejiuzuru uongozi na kuendelea kubaki mwanachama wa kawaida?
Ambacho madiwani wake wameachana nacho na kuhamia upinzani au kinachokaribisha wanachama 'wasiofukuzwa'?
Ambacho kinategemea goli la mkono au kinachotegemea kulinda kura kilichopigiwa kihalali!?
Watanzania zaidi ya 70% wanataka mabadiliko kwa njia ya amani Oktoba 15 na atakayewalazimisha kuyatafuta kwa njia nyingine dalili ziko wazi watafanya hivyo.
Mnaweza kuongezea na mengine lakini anayetaka kukifufua chama kilichokufa atapelekea machafuko na atawajibika kwa Watanzania na dunia kwa ujumla.
 
Hivi wassira huyu huyu anayegombea jimbo na wajukuu zake?kweli kazi ipo,wanabunda ni wazembe sana,mnawakilishwaje na mzembe kama huyu,hajui hata kufunga vifungo vya shati lake,
 
Back
Top Bottom