Weka picha
Aliyekua meya wamanispaa ya Bukoba ndgu Anatory Amani amejiunga na CHADEMA rasmi. Aliyekua waziri wa zamani wa nishati na madini Nazir Karamagi amejiunga na CUF
2. Aliyekuwa mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM, Keko, Peter Mtisi pamoja na makada 100 wa CCM wamejiunga CHADEMA.
3. Mbuge wa Sikonge Said Nkumba avaa gwanda naye.... ukombozi unaendelea
Kwa hiyooooo mtoto wa Sokoine ataangukia pua mkuu
Itabidi mwishoni pale nae atangaze kuhamia upande wa pili kabla ya uchaguzi
Na lini mmasai akaongozwa na demu