Recent content by my-eyes

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi yule John Mnyika "machachari" yuko wapi? Kapatwa na nini? Mbona hasikiki tena?

    Umeniacha hoi mkuu kwa kicheko... ....wakukurupuka....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya benki inatumika kishirikina na hailipiki hadi wakufilisi

    Mkuu uko juu ya mstari..... Riba mbaya tena sana.lakini sijui ni udhaifu wa binadamu kuwamacho tunayo lakini hayuonii na masikio tunayo lakini hatusikii..?! Kweli shetani katuweza...maana mpaka hao viongozi wa kiroho nao mbio nyingi kwenye mikopo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwendesha bodaboda kortini kwa kosa kumbaka Askari JWTZ

    Umesema kweli mkuu., aibu hata mitaani Wanafanya ufuska wazi kabisa mpaka utadhani ni moja kati ya mafunzo yao.sijui hawaelewi kama heshima yao inashuka sana kwa hilo.? Wengine wanapelekwa jeshi wakati wamesha washinda wazazi wao..! Huku wapo wanalewa za bure mpaka hawajitambui...unadhani ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yamuua Monika, BodaBoda Boko Darajani

    Pombe ina nguvu sana....! Ila nadhani huko kuzimu kutawaka moto bila kiberiti....maana watakutana'live' Na mwenye boda atadai roho na hela yake..!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makamba Jr must step down we are tired with corruption scandal comment "YES"the voice to heard

    Hivi mnadhani kufuli kawekwa na nani na kwa nini.? Na tusubiri tuone, nawaambia watatumbuliwa ya hawa lakini ya wale yatafunikwa kisomi. Watamng'oa kweupeeee......
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wauaji wa Maalbino Malawi wachomwa moto (picha sio nzuri kuziangalia kama una moyo mwepesi)

    Nikivuta picha huyo albino maumivu aliyoyapata.... Kama ni kweli wao ndio wahusika Mimi ningeshawishi tuwakate na wao kiungo kimoja kimoja huku wanashuhudia.au wafungiwe sehemu wafe pole pole kwa njaa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bongo movie aibu tena

    Wakukurupuka style..... Kazi ipo divai mpya viriba vya zamani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

    Kuna watu wanajifanya wajuaji wakati majibu yao yanajionesha ni mburula "tia maji tia maji...."
  9. M

    JamiiForums Tanzania Milionea mtoto akamatwa, Polisi washikilia baadhi ya mali zake

    Kwa tz hii ukisema eti vya halali basi wote jela mpaka hao polisi wenyewe.ngoja tuone labda na kina "waleee" watakamatwa pia.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Milionea mtoto akamatwa, Polisi washikilia baadhi ya mali zake

    Watakamatwa hawa hawa tu vidagaa .wale papa na nyangumi kama rizi never.! Hawajitaki nini...na kosa la huyu ni kujisahau kama tuna matabaka sasa watamuandama mpaka wamfilisi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje....?

    habari wana jamvi... Niliwahi kuhadithiwa kisa Hiki na mtoto wa marehemu .ni Hivi... Mwaka 79 m!ama wa rafiki yangu alifariki kwa kulishwa sumu, hukooo kwa wahehe..sasa Baada ya miaka 25kupita baba (mume) wa marehemu alipita kuzuru kaburi la mkewe.akakuta chura juu yake., kaokota jiwe kumpiga...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamba aliyojinyongea mtu au Kabanga ina siri gani?

    Kama mpaka sasa kaburi halijadidimia basi jeneza lake ni laa chuma haliozi.au machezo hayo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya majina ya ukoo

    Dunza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Wamachinga Msimbazi waua mtu kwa kukanyaga nyanya

    Hao unafatilia chini chini maana wengine watabaki uraiani unawamaliza au kukata mikono kimya kimya kwa kutumia wahuni kutoka mkoa mwengine. Na wale wa jela huko watakoma ikiwemo kuolewa.
Back
Top Bottom