Siri ya majina ya ukoo

Siri ya majina ya ukoo

Sio kwel na km wapo wanaofcha ujue hawapendi ukoo wao ila sometime wazaz wanachangia kutojulkana kwa ukoo pale wanapoenda kuandksha watoto wao xcul!!

Lyimo's daughter...
 
tatizo ni lugha tu.
majina yetu kama mabula ni mvua,
majina ya ughaibuni petro au peter ni jiwe au mwamba
hapo cha kujivunia majina ya ughaibuni ni kipi au kwa kuwa hatujui maana za majina yao?
Kasome vizuri Mathayo 16. Petro alipewa jina la Kefa na Yesu, hakupewa na wazazi wake. Kefa ni mwamba lakini Petro sio mwamba
 
Totemism is a belief in which either each human, or each group of humans (e.g., a clan or tribe) is thought to have a spiritual connection or a kinship with another physical being, such as an animal or plant, often called a "spirit-being" or "totem."
 
Mshana jina kubwa sana hasa kwa mkoa wa kagera
 
Totemism is a belief in which either each human, or each group of humans (e.g., a clan or tribe) is thought to have a spiritual connection or a kinship with another physical being, such as an animal or plant, often called a "spirit-being" or "totem."
I will work on it
 
Kwahiyo ndiyo kusema mshana jr anarogeka kirahisiiiiiiiiiiiii

Kuna siri gani katika majina ya asili ya kiafrika? wakati huo huo pia tujiulize maana & usiri katika majina ya kizungu.

Mshana Jr hebu tuanze na jina lako, tupe maana ya jina lako.
 
hii nadharia inasema kwamba hata jina lako la Mshana ni imani kwamba Babu yako aliyekufa ndiye wewe uliyezaliwa na ndio maana unaoewa jina la Babu au Bibi
The myth of reincarnation
 
Majina ya ukoo ni majina tunayoyarithi kutoka kwa mababu na vizazi vilivyotangulia.

Majina ya ukoo ni yale ya asili ya Afrika mathalani Mbegale, Manyenye, Igembe nk.

Majina haya huwa yana maana fulani, hata kama huijui, lakini kwenye ulimwengu wa kiroho majina haya yana maana kubwa.

Majina haya yanatumika sana wakati wa matambiko na ibada za mizimu. Kwenye ibada za mizimu au matambiko hutatumia jina lako la John au Ally, utatumia jina lako la asili ili kukuunganisha wewe na mizimu ya kwenu.
Matambiko, ibada za wafu, ibada za mizimu ni ibada zilizo machukizo kwa mwenyezi Mungu.

Ukiwa na jina la ukoo ni rahisi sana kurogeka ndio maana leo watu wengi hawataki kutumia majina ya ukoo, utakuta mtu anaitwa Twaha Juma, ukimuuliza wewe ukoo wenu ni upi,? Atakujibu Khalfan .

Watu wanaficha majina yao ya ukoo na ya kijadi kwa ajili ya usalama.
Nakaribisha michango yenu.

CC:- mshana jr, jichawi, Tuyuku, MziziMkavu, FaizaFoxy
Mmefungwa uwezo wa kujitambua,,sitaki kuamini....kurogwa ni imani,,hata hayo majina ya kigeni huko kwao ni majina ya kienyeji kwa asili yao......mbona wahindi,wakorea,wachina wameendelea kuwa na mjina yao ya asili.....mimi ntautukuza u-Africa wangu hata iweje...
 
Kuna siri gani katika majina ya asili ya kiafrika? wakati huo huo pia tujiulize maana & usiri katika majina ya kizungu.

Mshana Jr hebu tuanze na jina lako, tupe maana ya jina lako.
Nazjaz ni kifupi cha nazi jahazini.
Bibi yangu alikuwa mrembo sana Mombasa, alifananishwa na nazi ndani ya jahazi.
Nazi bora ndizo zilizokuwa zikisafirishwa kwa majahazi kwenda Oman
 
Back
Top Bottom