habari wana jamvi...
Niliwahi kuhadithiwa kisa
Hiki na mtoto wa marehemu .ni
Hivi...
Mwaka 79 m!ama wa rafiki yangu alifariki kwa kulishwa sumu, hukooo kwa wahehe..sasa
Baada ya miaka 25kupita baba (mume) wa marehemu alipita kuzuru kaburi la mkewe.akakuta chura juu yake., kaokota jiwe kumpiga chura kakimbia na moja kwa moja akaingia kwenye kishimo kilichokuwa upande wa kichwa..!
Mzee akachungulia kile kitundu, moja kwa moja kakutana na sura ya mkewe inaonekana wazi na haikuoza.!!
Wakafanya yao na walipofukua wakakuta mwili wa yule mama wala haujaoza uko vile vile tena msafi....
Yalisemwa mengi sana.ila mimi naommba msaada wenu waungwana hii inakuwaje..?
Cc :bujibuji
Mshana jr
Jichawi na mzizi mkavu