Hivi yule John Mnyika "machachari" yuko wapi? Kapatwa na nini? Mbona hasikiki tena?

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,971
3,827
Ni muda mrefu sasa toka uchaguzi mkuu upite mwanasiaasa huyu amekuwa haonekani hadharani. Ni nadra kumsikia akizungumza chochote na sana sana utasika wenzake wakimtaja kuwa John Mnyika NAYE amesema jambo fulani, kitu ambacho hakikuzoeleka kwa mwanasiasa huyu.

Je nini hasa kimemsibu mwanasiasa huyu???? hasa kwa wakati huu ambapo kuna umoja wa vyama na kuelekea uchaguzi wa ZANZIBAR.

Kwenye UTEUZI WA KATIBU KULE MWANZA sijamsikia na yeye ni mwenye wadhifa wa juu kwenye chama

(NB: HATA Dr. Slaa ILIANZA HIVI HIVI)

Public Figure huyu je anasoma? yupo likizo ya kisiasa?
 
  • Thanks
Reactions: G13
Ni muda mrefu sasa toka uchaguzi mkuu upite mwanasiaasa huyu amekuwa haonekani hadharani. Ni nadra kumsikia akizungumza chochote na sana sana utasika wenzake wakimtaja kuwa MNYIKA NAYE amesema jambo fulani, kitu ambacho hakikuzoeleka kwa mwanasiasa huyu.

Je nini hasa kimemsibu mwanasiasa huyu???? hasa kwa wakati huu ambapo kuna umoja wa vyama na kuelekea uchaguzi wa ZANZIBAR.

Kwenye UTEUZI WA KATIBU KULE MWANZA sijamsikia na yeye ni mwenye wadhifa wa juu kwenye chama

(NB: HATA Dr. Slaa ILIANZA HIVI HIVI)

Public Figure huyu je anasoma? yupo likizo ya kisiasa?


Anaandaa nondo za vikao vijavyo saiv anamchora wa kukurupuka
 
Kama yupo ajuaye MNYIKA alipo.... tafadhali tujuzane ...... (isije kuwa mama Mushumbusi amemfungia ndani) JOKE
 
Mnyika anajitambua, si mnafiki! Wewe tu tumia akili yako, inakuaje Mnyika yuko kimya hivi??? SIO KAWAIDA YAKE, kuna nini?? Jiulize kisha jipe jibu!
Ninuacho, jamaa anajitambua.
 
Habarini Wadau,

Nauliza tu mbona John Mnyika hasikiki, haonekani kwenye medias?

Naona kamanda amekuwa kimya sana.

Naomba nijibiwe na Waelewa wenye facts wenye itikadi za kizalendo yaani wana UKAWA na si Wanalumumba wa buku 7.

Narudia tena, wanalumumba waupite huu uzi wasime nyuzi zingine...sitaki uwongo na uzushi wa kiboya.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom