hivi ni kweli ili upewe mkopo NMB lazima ufungue fixed account jamani mbona bamk nyingine hamna halafu aina maana maana badala ya kukopeshwa mpaka niweke hela kwanza mnapoteza maana ya mkopo.
yan kujaribu lazima kama hailiki liwe zigo langu na ndoa za kikristu zilivyo mbaya mke mmoja na mme mmoja kwa aisha ya wawili sasa mpaka afe mmoja lini na kama bovu nivumilie tu yan bora kujaribu mapema
Inaelekea mwisho kivipi wakati ndo mapambano yanaanza upya, watu wanapenda kutumia statement fulan ili kualalisha uongo lkn wanakaza buti wala hawajafika mwisho labda mtu mmoja kafika mwisho anataka na chama chote kifike mwisho we ukiona mwisho wako kaa pemben achia chama kidumu
mim naona ni sawa tu kama alikuwa anapenda kubeba wake wa wenzake ni afadhali akapunguzwa ili wale wenye tabia kama yake na vyeo vyao watambua sasa watu wana hasira walee wao ndani wapendeze mke wa mtu sumu bwana.
wew biashara matangazo weka smu na bei zake hapa watu waone ila ukitaja tu aina za simu siyo watu wote wanazijua ila kwa kuweka picha zake mtu anaweza kuvutiwa na kununua faster.
kwa kweli namsihi aangalie maneno ya busara ya wazee wanayompa na siyo kuropoka na kiongoz mzur anateuliwa na watu na siyo kusimama majukwaani na kujitangaza ovyo ovyo kwani jamni ikulu kuna nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.